Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
..andiko lako linawatia moyo wanaofanya dhuluma na ukatili hapa nchini.
..tumia kalamu na kipaji chako vizuri kwa kutetea HAKI.
Mwambieni Lissu asifikiri hizi akili anazozisoma mitandaoni za akina Tindo Proved Lord denning kalama et al ndo akili za wapiga kura walioko ground!!Hamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.
Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama
2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.
3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo
Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!
Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.
Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.
Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.
Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.
Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.
Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi
Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.
Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.
Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.
Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.
Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.
Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.
Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.
Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.
Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Si mlisema hivyo hivyo kuwa hashindi Uenyekiti Chadema kwa kuwa watu wa motandao sio wapiga kura! Vipi kiko wapi?Mwambieni Lissu asifikiri hizi akili anazozisoma mitandaoni za akina Tindo Proved Lord denning kalama et al ndo akili za wapiga kura walioko ground!!
Siasa sio mahali pa amri kama jeshini au kazini!! Siasa zina dynamics zake na tamaduni zake!! Mwambieni huko ground watu wanapewa redio sasa inabidi ajiulize lugha gani ataitumia wamuelewe!! Ujuaji sio mzuri aliwasema sana wenzie naona anaanza kukwama mapema sanaaa
Kula kitu hichooo
1. Hii ya Balile jana si kwamba alikuwa haelewi bali alikuwa anamvuta Tundu Lissu katika uelekeo aliokuwa anautaka yeye, uelekeo wa uchawa wa mama a.k.a Chura Kiziwi lakini alishindwa kwa kuwa alikuwa mbele ya mtu ambaye ufahamu na uelewa wake ktk issues mbalimbali ni wa juu na wa mbali miles nyingi kuliko Balile na anaowatumikia...Hamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.
Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama
2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.
3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo
Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!
Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.
Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.
Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.
Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.
Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.
Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi
Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.
Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.
Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.
Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.
Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.
Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.
Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.
Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.
Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Sasa utafananisha mkutano mkuu wa chadema uliokua na wajumbe 900 na asilimia kubwa wanywa visungura waliokua wakipiga hovyo kelele (ambao ni ninyi) na bado mkashinda sijui kwa kura 13 ndo inawapa bichwa kuwa mtaiweza nchi nzima kweli?? Kwahyo zile kura ndo zinamfanya Lissu Tumbo lizidi kujaa namna ile? Hivi mna akili kweli nyie?Si mlisema hivyo hivyo kuwa hashindi Uenyekiti Chadema kwa kuwa watu wa motandao sio wapiga kura! Vipi kiko wapi?
Dah! Angalau leo umeongea pwenti! Nashauri kama Lissu alishawishi kundi la tatu, basi arudi shule ajifunze kuhusu "Public Speaking". Itamsaidia sana kuwapata watu wa kundi la tatu.Hamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.
Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama
2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.
3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo
Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!
Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.
Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.
Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.
Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.
Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.
Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi
Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.
Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.
Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.
Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.
Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.
Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.
Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.
Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.
Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Safi, endeleeni na sifa zenu za kijinga. Mtu anashauri jambo muhimu kabisa mnaleta ujinga.Naunga mkono hoja ila yule Balile alistahili ile Nonsense
Katoa ushauri mzuri naukubali, ila alichofanya Balile ni nonsense. Rudi kasikilize ile clip, alikuja na matokeo mfukoni ya kulazimisha Tume ya Uchaguzi ni huru. Kila akieleweshwa anakuja ana hamisha magoli tuSafi, endeleeni na sifa zenu za kijinga. Mtu anashauri jambo muhimu kabisa mnaleta ujinga.
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!!Hamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.
Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama
2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.
3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo
Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!
Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.
Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.
Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.
Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.
Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.
Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi
Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.
Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.
Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.
Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.
Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.
Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.
Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.
Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.
Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Wakati wa kubembelezana na kutongozana umekwisha. CCM wamekuwa wanafiki kwa muda mrefu na kete yao kubwa ni umaskini wa wananchi kwa kutoa zawadi ndogo ndogo na kuendesha propaganda za vitisho na vita.Aiseeh!
Kwamba Mimi niitetee dhulma?
Mimi nimemshauri Lisu namna ya kufika huko anakotaka kufika. Hiyo ni juu yake kuelewa kwa namna yako au Kwa namna atakayoona yeye
vibaka na matapeli wa siasa huwa hawanaga utulivu wakiulizwa kitu wasichokua na majibu nacho kulingana na marking scheme za majibu walioyojiandaa nayoHamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.
Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama
2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.
3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo
Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!
Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.
Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.
Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.
Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.
Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.
Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi
Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.
Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.
Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.
Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.
Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.
Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.
Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.
Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.
Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Wakati wa kubembelezana na kutongozana umekwisha. CCM wamekuwa wanafiki kwa muda mrefu na kete yao kubwa ni umaskini wa wananchi kwa kutoa zawadi ndogo ndogo na kuendesha propaganda za vitisho na vita.
Wananchi pia wanaelekea kukinaishwa na unafiki wa CCM lakini bado hawajapata mwongozo sahihi wa kuiadhibu. Katiba na sheria zipo lakini zinakiukwa kwa makusudi kwa visingizio mbalimbali.
Hivyo kuendelea kuchekeana na CCM ni kupoteza muda bure! Wakati wa kuambiana na kujibizana na CCM kwa maneno makavu ni sasa vinginevyo maisha ya wananchi yataendelea kupotea kwa kisingizio cha kulinda amani!
Naunga mkono hojaHamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.
Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama
2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.
3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo
Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!
Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.
Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.
Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.
Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.
Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.
Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi
Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.
Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.
Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.
Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.
Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.
Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.
Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.
Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.
Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Yaani umfundishe hayo mh.Tundu Lissu akuelewe ?!!Hamjamboni wote!

Kiongozi, kuhusu kitu unachokiita ukali katika kuongea, inaonekana huelewi maana yake, au huelewi study za mawasiliano commutation skills.
Katika an art of public speaking.
Kwa mwanasiasa, Mwalimu, CEO aliyeiva hawezi kuongea mwanzo mwisho kwa same tone.
Lazima kuwe na tone variety,namna nyingine ukikosa hiyo hadhira inakuwa tired , inapoteza hamu ya kumsikiliza mhusika.
Kwahiyo katika art of public speaking Kuna
1.Rising ,
2.Falling tone
Moja inaonesha msistizo, Moja inaonesha kuweka kituo baina ya hoja Moja na nyingine .
Ndio maana unaona hakuna nyakati Nyerere, Nelson Mandela, Mugabe Robert, Julius Malema,Late Christopher Mtikila, Samora Moses Marchel wamekuwa na pitch and Intonation yenye same rhyme all the time.
Nakuomba sana pitia speech za hao hasa JULIUS MALEMA, uanaharakati mo attitude na msimamo,kuliko namna ya kuongea.
All in all andiko lako lipo vizuri, ila nipo kinyume kabisa na concern yako eti Lissu anaongea kwa ukali na kiharakati.
Nakuomb check na watu waliosoma Linguist hasa katika sarufi matamshi Phonology utaelewa mtindo wa kuongea wa Lissu sio bahati mbaya, ni professional public speaking, kajifunza na ana practice.
πππ
π€οΈπββοΈβοΈπ―πππππ€ππ π πHamjamboni wote!

π€οΈπββοΈβοΈπ―πππππ€π ππππKiongozi, kuhusu kitu unachokiita ukali katika kuongea, inaonekana huelewi maana yake, au huelewi study za mawasiliano commutation skills.
Katika an art of public speaking.
Kwa mwanasiasa, Mwalimu, CEO aliyeiva hawezi kuongea mwanzo mwisho kwa same tone.
Lazima kuwe na tone variety,namna nyingine ukikosa hiyo hadhira inakuwa tired , inapoteza hamu ya kumsikiliza mhusika.
Kwahiyo katika art of public speaking Kuna
1.Rising ,
2.Falling tone
Moja inaonesha msistizo, Moja inaonesha kuweka kituo baina ya hoja Moja na nyingine .
Ndio maana unaona hakuna nyakati Nyerere, Nelson Mandela, Mugabe Robert, Julius Malema,Late Christopher Mtikila, Samora Moses Marchel wamekuwa na pitch and Intonation yenye same rhyme all the time.
Nakuomba sana pitia speech za hao hasa JULIUS MALEMA, uanaharakati mo attitude na msimamo,kuliko namna ya kuongea.
All in all andiko lako lipo vizuri, ila nipo kinyume kabisa na concern yako eti Lissu anaongea kwa ukali na kiharakati.
Nakuomb check na watu waliosoma Linguist hasa katika sarufi matamshi Phonology utaelewa mtindo wa kuongea wa Lissu sio bahati mbaya, ni professional public speaking, kajifunza na ana practice.
πππ
Mimi naona huo UKALI ndio unaomfanya aaminike zaidi na watu wengi. UKALI wake unaonesha SERIOUSNESS. UKALI wake unaonesha hanunuliki. Nashauri aendelee kuwa MKALI hivyo hivyo kwa sababu siku akiwa MPOLE atazushiwa kuwa kala hela za Abduli kama Chaupole Mbowe. Yaani ikiwezekana ang'oe 'bandama' ili hata kucheka asiwe anacheka kabisa. Ni mwendo wa sura ya kaziπHamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.
Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama
2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.
3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo
Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!
Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.
Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.
Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.
Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.
Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.
Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi
Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.
Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.
Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.
Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.
Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.
Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.
Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.
Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.
Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Wewe umejuaje kwamba hapati uungwaji mkono na watu wengi zaidi?. Una takwimu?Kwa namna ipi?
Mimi kumwambia Lisu abadili Mbinu ili apate uungwaji mkono na watu wengi zaidi. Watu wamuelewe nawezaje kuunga Mkono dhulma?
Mbinu anayotumia Lisu hawezi kushinda kama hatapata ushawishi kutoka kwa Watu wengi