Kiongozi, kuhusu kitu unachokiita ukali katika kuongea, inaonekana huelewi maana yake, au huelewi study za mawasiliano commutation skills.
Katika an art of public speaking.
Kwa mwanasiasa, Mwalimu, CEO aliyeiva hawezi kuongea mwanzo mwisho kwa same tone.
Lazima kuwe na tone variety,namna nyingine ukikosa hiyo hadhira inakuwa tired , inapoteza hamu ya kumsikiliza mhusika.
Kwahiyo katika art of public speaking Kuna
1.Rising ,
2.Falling tone
Moja inaonesha msistizo, Moja inaonesha kuweka kituo baina ya hoja Moja na nyingine .
Ndio maana unaona hakuna nyakati Nyerere, Nelson Mandela, Mugabe Robert, Julius Malema,Late Christopher Mtikila, Samora Moses Marchel wamekuwa na pitch and Intonation yenye same rhyme all the time.
Nakuomba sana pitia speech za hao hasa JULIUS MALEMA, uanaharakati mo attitude na msimamo,kuliko namna ya kuongea.
All in all andiko lako lipo vizuri, ila nipo kinyume kabisa na concern yako eti Lissu anaongea kwa ukali na kiharakati.
Nakuomb check na watu waliosoma Linguist hasa katika sarufi matamshi Phonology utaelewa mtindo wa kuongea wa Lissu sio bahati mbaya, ni professional public speaking, kajifunza na ana practice.
🙏🙏🙏