Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Mtibeli napenda sana maandiko Yako, napenda responses zako, hauna jazba hata kidogo unapokosolewa tofauti na baadhi ya members!!Mkuu Mimi nimesoma Phonology nilichokiandika nakielewa
Hata hivyo pia umeeleza sahihi Kabisa
Kwanza kabisa reforms sio faida kwa CDM tu kila mpenda nchi itakusaidia uwe mkulima,mfanyakazi,mfanyabiashara sasa jiulize wewe kwa nafasi yako umechukua hatua gani hapo ulipo? Je unaridhishwa na hizi sheria zilizopo? Acha TAL na CDM wakaandamane watatu watakua wamefanya wajibu wao kama chama cha siasa sasa wewe kama unaona kuna faida za reform ungetaka ufuatwe nyumbani kwako uje kubembelezwa? Nonsense kabisaSasa Lisu ataendeshaje maandamano ya no reforms no election bila kundi kubwa la wanachama, wafuasi na washabiki wa CCM ambao kimsingi ndio wengi.
Siasa ni hesabu
Nishakuambia Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Unajua kucheza Draft?
Ili nione kama unanielewa au vipi
Kwanza kabisa reforms sio faida kwa CDM tu kila mpenda nchi itakusaidia uwe mkulima,mfanyakazi,mfanyabiashara sasa jiulize wewe kwa nafasi yako umechukua hatua gani hapo ulipo? Je unaridhishwa na hizi sheria zilizopo? Acha TAL na CDM wakaandamane watatu watakua wamefanya wajibu wao kama chama cha siasa sasa wewe kama unaona kuna faida za reform ungetaka ufuatwe nyumbani kwako uje kubembelezwa? Nonsense kabisa
Ile 'nonsense' kwa Balile was 'a fatal mistake' a serious politician can publicly dare to commit! Time will tell.Naunga mkono hoja ila yule Balile alistahili ile Nonsense
Political rhetorics!!!Kwanza kabisa reforms sio faida kwa CDM tu kila mpenda nchi itakusaidia uwe mkulima,mfanyakazi,mfanyabiashara sasa jiulize wewe kwa nafasi yako umechukua hatua gani hapo ulipo? Je unaridhishwa na hizi sheria zilizopo? Acha TAL na CDM wakaandamane watatu watakua wamefanya wajibu wao kama chama cha siasa sasa wewe kama unaona kuna faida za reform ungetaka ufuatwe nyumbani kwako uje kubembelezwa? Nonsense kabisa
Anayedhani mtoa hoja kaitoa muda usio mwafaka ndiye aliyekosea. Ametoa hoja muda mwafaka baada ya kumshuhudia mbeba maono akihamaki kwa kudodoswa kidogo tu nje ya fikra na matamanio yake! Na alisahau kuwa wahariri na wanahabari ni wadau muhimu wa kuwashirikisha katika kuufikia umma...Na makala yako, hata kama ulikuwa na nia nzuri, umeiandika katika muda ambao sio sahihi.
..unapaswa kutambua kwamba watu wamepoteza maisha ktk kila uchaguzi wa nchi hii.
..tumia kalamu yako vizuri kwa kupinga dhuluma hiyo.
Anayedhani mtoa hoja kaitoa muda usio mwafaka ndiye aliyekosea. Ametoa hoja muda mwafaka baada ya kumshuhudia mbeba maono akihamaki kwa kudodoswa kidogo tu nje ya fikra na matamanio yake! Na alisahau kuwa wahariri na wanahabari ni wadau muhimu wa kuwashirikisha katika kuufikia umma.
Watibeli tunaangalia matokeo Zaid
Kwanini uwazie machafuko? Na kwanini hutaki kuona wasitaka reform ndio wakorofi kuliko wanaotaka reform? Kwanini hawataki reform washinde kihalali kwakua wanakubaloka sana? Naomba pata maji ya mama upoze koo utueleze vyemaPolitical rhetorics!!!
Wakati wengine Tanzania ndio nyumbani na hakuna nchi mbadala ya kukimbilia, wengine wapo nchini kama 'waseja'...wake na watoto wao wapo mafichoni ughaibuni.....
..wewe si muandishi mashuhuri?
..mara ngapi umetumia kalamu yako kumtetea Azory Gwanda muandishi mwenzako?
..huu muda uliotumia kutunga makala ya kumzodoa Lissu ungeutumia vizuri kutetea na kuelimisha wananchi kuhusu HAKI.
Nafikiri katika watu ambao tunaandika kumshauri Lisu mazuri kwenye nchi hii Basi Mimi ni Mmoja wao.
LISU ndiye mwanasiasa pekee TANZANIA ambaye nimekuwa nikimzungumzia kwa mazuri
Unataka niwe Chawa Kwake?
Watibeli sio chawa na hawawezi kuwa chawa
..kuwa chawa wa wanyonge wasio na sauti.
..mbona sijaona makala yako ya kutetea wanaopotezwa?
..umewahi kuandika kuhusu Azory Gwanda? Ni muandishi mwenzako na sijaona ukimsemea.
wakati huo ukiwa pembeni.! waTz ni watu wa hovyo sana!Watibeli tunaangalia matokeo Zaid
wakati huo ukiwa pembeni.! waTz ni watu wa hovyo sana!
Hayo yote unayozungumza yameshafanywa na Mbowe, guess what! CCM ni ile ile
Huyu mtoa mada yupo sober kweli,
Watu wakutie ulemavu, hapohapo wakudhulumu Ushindi wa kura ulizopata kwa haki, unawezaje kuwa na lugha laini kwa watu wa aina hiyo unapotaka kuwashitakia kwa wananchi?
Ni rahisi kusema hivo kwasab siajabu hata selo hujawahi kufikishwa..tena kuwekwa sero kwasab ya kutetea watu baki..sio familia yako.
Kumshawishi mtu hakuhitaji huruma.Lissu anawashitaki CCM kwa Makundi mbalimbali juu ya namna chaguzi zinavyoporwa, anaeleza taratibu step by step, tena kwa lugha rahisi kabisa..
Hivi unaujua uchungu na maumivu ya dhuluma wewe..
Lissu akiwa binadamu kama wewe, mwathirika wa moja kwa moja ni lazima aeleze haya madhira kwa hisia.
Kama mna sababu zenu za kutompenda Lissu muwe wazi tu.
Ok Sasa hao CCM ambao kwako ndio mafundi wa kushawishi watu, hebu waweke Fair election, halafu wao Waongee kwa upole Lissu ahutubie kwa ukali majukwaani tuone nani mshindi.
Unashawishi kitu gani wakati hata ushawishi vipi kwa mfumo uliopo lazima dola ya CCM ishindeNjia ya ushawishi imeshindwa?