Kwako Lissu; Kwenye public speeches na Live interviews kunahitaji Sanaa ya kuusema ukweli na kuepuka UKALI wakati usio sahihi ili kushawishi watu

Kwenye huu uzi wa december uliongea hivi leo unasema hivi katika watu ambao hawana msimamo ni wewe ni kigeugeu sana na hii ni tabia ya watanzania wengi unafki
 
Kwa siasa za Tanzania anahitajika mtu wa aina ya Lisu, alivyo anakubalika na wengi.
 
Kingine ambacho Lissu anasahau ni kwamba anahitaji watu wa pande zote. Kwa mfano kumkandia JPM mwenye wafuasi ni kutokujua madhara yake. JPM Kwa sasa hayupo lakini bado kuna watu wanampenda, hana sababu ya kumponda ikiwa anataka kuvuta wafuasi wa JPM upande wake.

Kingine lazima atunze siri! Akipewa siri fulani aitumie kumnufaisha sio kuiropoka hadharani kutafuta umaarufu usiyoweza kumpa wafuasi wapya! Jamaa akipewa siri mdomo unawasha washa!
 
Natamani kujua hizo kete zinazowekwa ili ziliwe kimkakati ni kina nani hao. Huwa wanaishia wapi?
 
Hamjamboni wote!

Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.

Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.

Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.

Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama

2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.

3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo

Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!

Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.

Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.

Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.

Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.

Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.

Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.

Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi

Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.

Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.

Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.

Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.

Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.

Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.

Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.

Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.

Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.

Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Sasa Donald Trump utamshauri kitu gaji? Ifike wakati mjinga aitwe kwa jina lake sio kuzunguka
 
kitu ambacho Lissu hakiwezi ni UNAFIKI! Ukimuijia kipuuzi anakupiga za uso papo kwa hapo. wale wahariri wengi wao ni makada. akili ziko matumboni.
 
Hekima ndio imetufikisha hapa tulipo sasa imetusaidia nini? Watu wanapora uchaguzi watu wanaengua wahombea watu wanakatishwa uhai kisa uchaguzi tu? Halafu yote tunaona hayana msingi?

Sasa Lisu ataendeshaje maandamano ya no reforms no election bila kundi kubwa la wanachama, wafuasi na washabiki wa CCM ambao kimsingi ndio wengi.

Siasa ni hesabu
Nishakuambia Siasa ni kama Mchezo wa Draft.
Unajua kucheza Draft?
Ili nione kama unanielewa au vipi
 
Hamjamboni wote!

Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.

Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.

Hapa kuna Makundi matatu:
1. Wanaokukubali Naturally vile ulivyo.

Kuna watu watakukubali vile ulivyo bila hata ya wewe kutumia nguvu yoyote. Yaani wao wamejikuta damu Yao ime-match kwako. Wanakupenda from nowhere. Hawa hata uongee utumbo,ufanye Jambo zuri au baya hawa wapo upande wako tuu.
Kundi Hili wanatoka upande wowote wanaweza kuwa sio wanachama wa chama chako na hata wasiwe na chama

2. Wanaokukubali kwa Sababu mna-share interest, falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wao hujali zaidi maslahi Yao na kile kinachowaunganisha kama mnafanana falsafa, mitazamo n.k.
Kundi hili wengi huweza kuwa wanachama wenzako.
Lakini kundi hili sio la kudumu Sana kwa Sababu pale vitu vinavyowaunganisha vikiisha basi na ushawishi wako kwao unafikia Kikomo.

3. Wanaokukubali Mpaka uwashawishi.
Hawa ndio wapo wengi zaidi kuliko Makundi mengine.
Na hii ndio hufanya Kazi ya siasa kuwa
ngumu zaidi kuliko Kazi yoyote kwa Sababu ndipo utawala na uongozi wa watu ulipo

Kundi hili ndipo andiko letu litajikitia HAPO!

Ikiwa siasa inahitaji watu hii itamaanisha uwe na uwezo wa kulinda watu wanaokukubali, na kutumia mbinu na mikakati kushawishi wale ambao hawakukubali yaani wale ambao hawakoupande wako
Na hiyo ndio inanifanya niione Siasa ni kama Mchezo wa Draft.

Kwa wale Wachezaji wa Draft mabingwa kama Taikon Master mtakubaliana na Mimi Kuwa Mchezo wa Draft ili ushinde itakupasa uhakikishe unampunja mwenzako kete zake kusudi wewe uwe na kete nyingi kuliko za mshindani wako.

Kanuni ya Pili, ni kuhakikisha unashika Njia kuu za Mchezo ili kumzuia mshindani wako ashindwe kufanya movements zenye madhara kwako. Na Kanuni ya mwisho nikulinda kete zako zisikae katika Hatari ya kuliwa na mshindani wako bila faida. Kwamba ikitokea umeruhusu kete yako kuliwa basi uliandaa Kupata faida kubwa zaidi kupitia Kete hiyo.

Kanuni ya mwisho ni kutega mitego ambayo sio rahisi mshindani wako kuiona kirahisi. Na Jambo hili linawezekana ikiwa utaweza kuweka mitego ya bosheni kumpoteza maboya mshindani wako. Huo ndio Mchezo wa Draft kwa Sisi mabingwa. Unafanana kwa Kiasi kikubwa na michezo ya Siasa.

Kete ni WATU.
Huwezi kushinda kwenye siasa kama huna kete muhimu na hujazipangilia na kuziweka katika Njia sahihi kumiliki Mchezo.
Unahitaji kuwashawishi watu Kwa namna yoyote Ile wawe upande wako.

Kwenye Draft kuna kete zinazoingizwa King. Kete hizo huwa na uwezo wa kuzunguka sehemu yoyote na Kula kete nyingi zaidi
Kwenye siasa lazima utambue watu wenye ushawishi kwa Watu wengine hawa ndio kings wa Mchezo wako ambao ukiwatumia hao unajua nyuma Yao wapo wafuasi wengi ambao watakuwa upande wako.

Sitaki Kuchochora na kusema mambo mengi

Tundu Lisu ni kweli anaushawishi. Lakini ushawishi wake upo kundi la watu wenye mitazamo, falsafa na interests zinazofanana na wale wanaomkubali naturally.
Hii Inamaanisha kuna kundi kubwa la watu ambao wanahitaji awashawishi ili wawe upande wake. Na kwa bahati mbaya kundi Hilo ndilo hubeba watu wengi zaidi kuliko Makundi mengine.

Tundu Lisu pamoja na kwamba anasema Ukweli lakini linapokuja suala la ushawishi kumfanya mtu ambaye hakukubali abadili mtazamo wake juu yako itampasa aongee Ukweli wenye Sanaa ndani yake. Asiongee Ukweli Mkavu Mkavu kama kina Siye Kina Taikon ambao Sisi kwa sasa hatuhitaji kumshawishi mtu yeyote awe upande wetu. Sisi tuna Uhuru wa kuzungumza ukweli wowote kwa namna yoyote.

Ukweli wowote kwa namna yoyote husemwa na Wanaharakati.

Lisu lazima awe na akili ya kujuwa wakati gani awe mwanaharakati na wakati gani awe Mwanasiasa ili Kupata nguvu zaidi.

Ukweli Mkavu Mkavu HAUTAKIWI kwa Watu ambao wapo kinyume na wewe alafu Muda huohuo unawahitaji wawe upande wako. Mambo hayaendi hivyo.

Tundu Lisu anapotoa hotuba zake hujikuta akijisahau na kushindwa kujua ni wakati gani awe Mkali.
Ukali kwenye ushawishi haupogo.
Huwezi mshawishi mtu ambaye yupo upande mwingine kwa kumuonyeshea Ukali.

Ukali wakati usiosahihi unabeba tafsiri ya Udikteta Uchwara.

Watu wasipokuelewa haina maana wao ni wabaya au wanakosea. Unahitaji utumie Mbinu za akili kuwashawishi wakuelewe.

Ukiwa kwenye interviews za kisiasa ni lazima uhakikishe Ukali wako hata kama upo unauhifadhi kwa wakati sahihi.
Ukali mbele za watu huweza KUBEBA tafsiri nyingi hasa kwa wale wasiokukubali hata kama ukali wako unahoja muhimu.
Wengi huweza kuutafsiri kama Ujuaji, kujiona, kiburi au jeuri.

Kufikia hapa Taikon Master Sina la Ziada

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Na kumtaja Magufuli kila wakati kwa tuhuma na bezo, inampunguzia washabiki na wapenzi bila ya yeye kujua!
 
Hatakiwi kuwa Mnafiki ila awe na Mbinu

someone who is genuine is genuine. Cannot pretend. anaweza kujifunza mbinu na bado akajisahau. He say what he mean, and he mean what he say. Intelligent and smart people ndio tuko hivyo. wakati mwingine inaweza kutugharimu lakini potelea mbali. Hatujipendekezi kwa wanadamu, Mungu huwa ndiye Yuko upande wetu hata kama wanadamu hawatotuelewa.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Kwa sababu naona nikikaa Kimya huyo Lisu anapoteza wale wasiomuunga Mkono ambao ni wengi badala ya kuwashawishi wawe upande wake

Sema wewe huelewi labda siasa ni kitu gani.

LISU anahitaji watu.
Watu ndio watamfikisha kutimiza maono yake kwa kile anachohubiri.

Naona unaangalia kwa jicho Moja tuu

Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?

subiri utaona uweza wa Aliye juu
 
Just wondering
na wale wanaopewa tisheti, kanga, kofia, chakula na elfu kumi kumi wapo upande gani vile?
Miaka hii minne tangu afe JPM wamepokea kivitendo zile ahadi zilizozoeleka kutolewa kisiasa.

Viwanda vingi vimejengwa huko mikoani na miundo mbinu yenye kurahisisha shughuli za kiuchumi imemwagwa.
 
Kingine ambacho Lissu anasahau ni kwamba anahitaji watu wa pande zote. Kwa mfano kumkandia JPM mwenye wafuasi ni kutokujua madhara yake. JPM Kwa sasa hayupo lakini bado kuna watu wanampenda, hana sababu ya kumponda ikiwa anataka kuvuta wafuasi wa JPM upande wake.

Kingine lazima atunze siri! Akipewa siri fulani aitumie kumnufaisha sio kuiropoka hadharani kutafuta umaarufu usiyoweza kumpa wafuasi wapya! Jamaa akipewa siri mdomo unawasha washa!
Anaishi na hulka zile zile za mahakamani akiwa anataka kumnyanyasa mtuhumiwa (bullying) akisahau kuwa ni maisha nje ya ukumbi wa mahakama.

Anashindwa kujishusha na kuongea lugha ya mwananchi wa kawaida msukuma mkokoteni au mama ntilie.
 
Back
Top Bottom