Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

heheheheheeeeee .............. sosoliso unakumbuka tulivofaudu room kwa anti ako afu tukabambwa na anko wako akatukoa makonzi! unakumbuka jinsi ulivoua hii soo?! ahahahahhaaaaa nakupendaga siku mingi my love wangu!!!

Nakumbuka La'aziz barafu wa moyo.. Anko akasema lazima tuje oana.. manoah wenzio tumetoka mbali..
 
Last edited by a moderator:
Bilinge ba yoyo, bilinge baaa... tunamuomba dada Paloma aingie kati na tuyaone malingo yake bingiri bingiri paka chini..

Masikini mimisa anajicikia vibaya huko aliko.. Amegundua hazbandi hakuna..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…