Kwako Makonda, RC Mpya wa Arusha: Kipaupembele chako kikuu kama RC kiwe ni kuboresha mazingira ya utalii bora

Mi nataka akawasimamie wale wachina wamalize haraka kujenga ule uwanja wa mpira na ikifika mwishoni mwa mwaka 2025 aondoke akagombee ubunge mahali kwingine.
 
Amekuja kwa mkakati maalum wa kudhoofisha upinzani towards the general election. Utalii hauwezi kuwa kipaumbele!!
 
Mi nataka akawasimamie wale wachina wamalize haraka kujenga ule uwanja wa mpira na ikifika mwishoni mwa mwaka 2025 aondoke akagombee ubunge mahali kwingine.
Mkuu wa Mkoa ndio msimamizi wa Ujenzi?
Tafadhali ndugu naomba namba yako ya simu au adress ufikishiwe mchele wa lishe toka Marekani,kuna kitu inakosekana kwenye medula yako.
 
Mkuu wa Mkoa ndio msimamizi wa Ujenzi?
Tafadhali ndugu naomba namba yako ya simu au adress ufikishiwe mchele wa lishe toka Marekani,kuna kitu nimeona unakosa.
Kaka unaonesha una chuki sana na Makonda ,punguza chuki utakufa Kwa kihoro. Mkuu wa Mkoa ndie msimamizi mkuu wa shughuli zote za Serikali katika mkoa ndio maana ni mwenyekiti wa kamati ya ushauri ya mkoa yaani RCC ,Kila kitu kinachohusu mkoa yeye ndio msimamizi mkuu. Ndio maana utamsikia Rais au Waziri mkuu anapotoa maagizo hata Kwa TANROADS anamuelekeza mkuu wa mkoa
 
Hana ufahamu wowte kuhusu ujenzi, hata choo chambwa hajui kinavyojengwa.
Wewe usitake kutetea upuuzi uliojengwa na TANu na baadae CCM.
Ficha uchi, utachekwa na waungwana, upuuzi kama huu ndio juzi umeona dokta wa mifugo kasimamia ujenzi wa hospitali kasimamishwa na Naibu waziri mkuu.
Acheni upuuzi hii nchi yetu sote, awacha ujinga.
 
Amekuja kwa mkakati maalum wa kudhoofisha upinzani towards the general election. Utalii hauwezi kuwa kipaumbele!!
Tanzania nchi ya kijinga Sana. Unamteua mkuu wa mkoa kwenda kupambana na upinzani? Very stupid CCM
 
Ule uwanja upo Chini ya Wizara ya Michezo.
 
Mhe.Rais kamkumbusha jukumu la kusimamia utalii RC Makonda Arusha. Mhe.Makonda tafadhali pitia hapa upokee ushauri, Rais Samia ana matumaini makubwa na wewe Arusha.
 
We mburumundu kweli unafikiri kupanda mikokoteni ndo kuboresha utalii
 
Hii nchi imejaa vichasa, Nini hiki umeandika utalii unaboresjwa na mkuu wa mkoa? Tatizo Arusha ni utalii?
Mtu anashinda vibarazani kusubiria kufanya kazi ya uchawa anazani utalii ni uchawa
 
Mambo mengine ya kuzingatia katika jiji la Arusha.

1. Usafi wa mazingira bado hauridhishi. Pita Kilombero ukielekea Airport ni kuchafu sana.

2. Matukio ua uharifu Arusha hasa hawa vibaka. Hili eneo namuaminia Makonda. Namkumbusha tu alipe kipaumbele.

3. Tuondelee vipanya, havileti hadhi na usafi kwa jiji la Arusha. Vipigwe marufuku kabisa kuingia mjini.

4. Ubora wa miundombinu bado Arusha inajitafuta. Kwa ushawishi wako Makonda natarajia utasaidia hawa Tarura na Tanroads kuwajibika.

Kufungwa taa za barabarani, hasa barabara ya Njiro hadi bypass na maeneo ya mjini kati. Barabara kuanzia impala round abt hadi relini ni kama vile Tarura haipo. Waziri Makame aliahidi barabara ya kuanzia kilombero hadi airport itakuwa njia nne. Akumbushwe ni lini inaanza kutengenezwa.

5. Kuna ubadhirifu mkubwa sana kuanzia ukusanyaji wa mapato na matumizi yake. Wamefanya Arusha kama shamba la bibi.

Nimekupa hayo tu ya kuanzia katika kulipa ubora jiji la Arusha.
 
Huyu mburumundu kaleta huu uzi na mawazo ya Kitanu tanu hovyo kabisa
 
Jambazi,mtekaji na muuaji ambaye mikono yake imejaa damu anawezaje ku promote utalii? Huyo pahala anapostahili kuwa ni jela tu akisubiria kunyongwa hadi afe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…