Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Yuko bungeni ili akuwakilishe. Ubunge ni kazi, na bunge siyo fungate.NAYO NI MCHANGO WA KUKUFANYA UWEPO BUNGENI
UNAFAHAMU MAANA KIOO CHA JAMII UKISHAKUWA UNATAZAMWA NA WENGI KAULI BILA KUFIKIRIA INAWEZA KUKULETEA MBELENI TATIZOYuko bungeni ili akuwakilishe. Ubunge ni kazi, na bunge siyo fungate.
Na alichozungumza ni uhalisia. Fanya harusi ya kadiri ya uwezo wako, baada ya kujipanga kwa muda wako. Achana na mambo ya kutegemea michango ya watu kufanya mambo yako ya starehe.
Mnawatwisha watu mizigo!
we endelea tuuH😂😂Kwa Mungu hakuna Majungu, mi nna Mungu...
Kawakilisha wengi. Watu wamechoshwa na huu utamaduni mpya wa kukamuana.UNAFAHAMU MAANA KIOO CHA JAMII UKISHAKUWA UNATAZAMWA NA WENGI KAULI BILA KUFIKIRIA INAWEZA KUKULETEA MBELENI TATIZO
Hakuna tatizo lolote hapo. Kasema iliyo kweli muandae harusi au sherehe kulingana na uwezo wako!UNAFAHAMU MAANA KIOO CHA JAMII UKISHAKUWA UNATAZAMWA NA WENGI KAULI BILA KUFIKIRIA INAWEZA KUKULETEA MBELENI TATIZO
Jamaa wanataka 'kufunga mtaa' kwa kutumia mifuko ya watu.Hakuna tatizo lolote hapo. Kasema iliyo kweli muandae harusi au sherehe kulingana na uwezo wako!
Anasema hivyo kwa vile anajuwa hawezi ķurudi tena kuwa mbunge wa Muheza.Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake...
Si bora hizo bia ziwepo unakutana na pespi na applepunchUnachangia laki moja sahan Moja ya wali na bia Tano aiseeee huu n wiziii😅