libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Hachangii wajumbe wenye dhamana ya kumkata au kumpigia kuraSasa anakosaje ubunge sababu hahachangia harusi ya mtu mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hachangii wajumbe wenye dhamana ya kumkata au kumpigia kuraSasa anakosaje ubunge sababu hahachangia harusi ya mtu mwingine
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]Tujifunze kuheshimu maoni ya watu kwani kuchanga harusi ni lazima!
Kwa Mungu si kwa mzunguAliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake...
Jamaa wanataka 'kufunga mtaa' kwa kutumia mifuko ya watu.
Kijamaa huwa kinajiona kagenius kumbe hamna kitu.Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake.
"Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa sababu hilo halikupangwa, kifo kinakujaga tu".
Mwamba ameongea ukweli hapa!
WATU MPAKA WAFE NDIO UCHANGIE. HAYA NA WEWE USIJE KUOMBA KURA ZA WATU NAYO NI MCHANGO WA KUKUFANYA UWEPO BUNGENI UKIWA HAI.
Adadi lazima ccm wampitisheUbunge wenyewe alipewa na Mwendazake,anafikili atachaguliwa na nani?
Katuwakilisha wengiKawakilisha wengi. Watu wamechoshwa na huu utamaduni mpya wa kukamuana.
Kwa ujumla wke KATAA NDOAKataa kuchanga harusi
Harusi ni mradi
Harusi ni wizi
Harusi ni utapeli