Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Wezi sio watu wa maana.Aisee nimewaza huo mchanganyiko wa cement na utumbo unachofanya huko ndani duh unakufa ukijiona😪😪 mpelekeni polisi tu. Ila nikikumbuka maumivu ya kuibiwa simu, pc na nguo zote enzi za chuo hawa wezi nashindwa kuwaelewa kabisa🤔
Hatari sana.Haya yote tunayataka sisi wenyewe wananzengo. Hawa vibaka hawaishi mwezini au sayari nyingine, tunaishi nao humu humu kwenye jamii zetu na tunazifahamu tabia zao ila akishakuwa ni mtoto wa fulani tunamuhofia sababu tunamjua na kwao ndiye anayewalisha.
Ikiwa sisi kwa sisi tutakamatana kwa umoja wetu, hao maaskari unaowataja watatusapoti sisi. Iangalie Keko kwa namna ilivyoshindikana, imefikia hatua mtu anakwapua simu halafu anatembea tu kuondoka kana kwamba hakuna kilichotokea.
Ukikutwa na mali dukani isiyo na maelezo faini na kufilisiwa duka. Wakikosa pa kuuza hawataiba.Hili nalo jambo.
Ila ushauri huu ni mgumu sana. Wanaiba gari/vifaa vya gari. TV n,k .. hivi tuviweke wapi?
Mchepuko wake katika ubora wakoJIJI LETU LIMEPOOZA MNO,CHONDE CHONDE MAMA SAMIA TURUDISHIE MAKONDA WETU.
Mmmmmh wewe bado mdogo ee?Ukikutwa na mali dukani isiyo na maelezo faini na kufilisiwa duka. Wakikosa pa kuuza hawataiba
Ccm hawawezi kubali hilimleta nada muongo hizo takwimu za kila eneo Dar umezitoa wapi ?
Soma uelewe. Maduka ya vitu used yadhibitiwe. Hii operation imeshawahi kufanyika na ikazaa matunda. Ukikutwa na stock haina maelezo unafilisiwa. Wauzaji hawatanunua vifaa kwa vibaka. Vibaka watakosa masoko.Mmmmmh wewe bado mdogo ee?
Subiri kwanza kununua kama utaweza kutunza hizo risiti za malipo, Ni ngumu sana.
Hata hivyo wezi wanauwezo wa kufoji risiti na hautaelewa kama ni fake,
[emoji23][emoji23][emoji23]...kwa hiyo wanaangalia upepoWahuni wengi walikuwa wanaogopa usawa wa yulee bandidu na wengi wamepotea saaana,
Huyu wa sasa hajaonesha cheche zozote huenda ikawa sababu