Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar (Kesi za Wizi Majumbani Zimeshamiri). Usalama hakuna

Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar (Kesi za Wizi Majumbani Zimeshamiri). Usalama hakuna

Yan Nkuu kwooote ukoo umeenda tu kukusanya takwimuu ama unefowadiwa matukio?
 
Soma uelewe. Maduka ya vitu used yadhibitiwe. Hii operation imeshawahi kufanyika na ikazaa matunda. Ukikutwa na stock haina maelezo unafilisiwa. Wauzaji hawatanunua vifaa kwa vibaka. Vibaka watakosa masoko.
Ooh. Kumbe unamaanisha wenyemaduka?
 
Yan Nkuu kwooote ukoo umeenda tu kukusanya takwimuu ama unefowadiwa matukio?
Mambo ni mengi mkuu. Siku hizi dunia ni kama Kijiji tu. Unaamka asubuhi ukiwa kazikazini mchana kazikazini.
 
Hata masoko ni machafu sana , Kawe, Mwenge n.k alisema Mzee fulani
 
Kamanda wa Mkoa ni yule yule, makamanda wa wilaya zote tano ni wale wale, Ilala, Ubungo, Temeke, Kigamboni, Kinondoni.

Kamati za ulinzi na usalama ni zile zile.

wote hao walihusika ktk kulinda ulinzi na usalama wa nchi yetu, sasa ni nini kimetokea?

tujitafakari, kama kuna hujuma tuxibaini mapema.
 
Back
Top Bottom