Kwako Mpendwa wetu Unique Flower

Kwako Mpendwa wetu Unique Flower

Kaka chinga mambo vip embu toa maoni unamshauri nini uniki flawa🤣😂�
Shekhe sihusiki na majini
FB_IMG_17092921504392445.jpg
 
6. Zungumza na watu unaowaamini
Kuzungumza na kuwaambia watu wa karibu nawe shida zako kunaweza kusaidia kupunguza viwango vyako vya msongo wa mawazo, huku kujumuika na familia na marafiki wanaweza kukusaidia kuwa mtulivu na kupunguza msongo wa mawazo. Ni vizuri kuzungumza na wengine kwani watu wanaweza kukusaidia kupata suluhisho la kile kinachokusumbua. Kumbuka, kuna watu ambao wanaweza kuwa wamepitia hali kama wewe. Hata hivyo, ikiwa haufikiri kuzungumza, unaweza kuandika hisia zako.
Uniki flawa usiingie huu mtego. 🤣🤣
Wanaanzaga hivi hivi washauri nasaha
Kesho kutwa wanakuja kukuchambua na shida zako mahii.
 
Back
Top Bottom