Ooh [emoji23] bora umetoa ufafanuzi aiseeMakofi
Nimejiuliza swali kama hiliYaani ulienda kwake physically kabisa ukiwa umejiandaa na akili zako timamu ndio ukapata kibano au ulichukuliwa na mazombi yake?
....umetuacha njia panda!
HahahhahaHuu ni utani, demiss ndiye aliyekutupa nje...??
Mkuu, asante kwa kunirekebisha maana nilikua kwenye foleni ya kupeleka matoleo..[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nguja-ngoja
Pages zote tatu mmeshindwa kuunga nukta kuwa ni TL au BWatch8 na Stone?
Ndo zao la Big Results Now, tusameheane mkuu.Huu uzi ni kipimo tosha kuwa humu kuwa huwa tunabishana na wajukuu zetu!!!
Ndo zao la Big Results Now, tusameheane mkuu.
I did decode the code but some people are still in the dark. Reading or rather comprehending is not in our DNA!Hii ni bonge la code
Hapana inakufa kwasababu watu hawawezi kufikiria sentimeta mbili mbele ya pua zao.Daah JF inaenda kufa hivo mpaka SKY ECLAT Anafanya Drama[emoji23][emoji23]
Una lipi la kusema juu ya Hili la SKY ECLATHapana inakufa kwasababu watu hawawezi kufikiria sentimeta mbili mbele ya pua zao.