mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Umeweza kuzing'amua maana ktk kuperuzi na mimi ndio nimegundua hilo ha ha ha ila watu walivyojibu ni vichekesho sana maana wameuchukulia literally kumbe inabidi uitafakari kuijuaHii ni bonge la code
Its a coded message in form of Kwa Mtogole drama.Una lipi la kusema juu ya Hili la SKY ECLAT
Basi inawahusu wa Kwa Mtogole sioIts a coded message in form of Kwa Mtogole drama.
I did decode the code but some people are still in the dark. Reading or rather comprehending is not in our DNA!
Vipi tena! amekubanjua kwa njia za kigiza? si unajua mpare yule.Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?
Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Afu umetoa jeroMkuu, asante kwa kunirekebisha maana nilikua kwenye foleni ya kupeleka matoleo..[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaha! hizi imani hua mnazitolea wapi? au ndio amekupa kazi ya kuja kuwapumbaza watu humu? mwambie basi aroge ili aende akachukue hela zote zilizopo benki.Hi
ameshaloga polisi wanamuogopa yeye na hata madaktari wanaogopa kunitibu
Hakuna aliyekuelewa acha kulazimisha watu,heshima uliyokua nayo humu jf ina anza kupotea kwa kasi sana,kaa chini ujifikirie upya.Kuna walionielewa tayari
[emoji15] [emoji87] [emoji3] [emoji144] dada nimekusoma kwa herufi kubwa[emoji25] [emoji25] [emoji25]Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?
Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Hapana mkuu, niliachia MasaiAfu umetoa jero
[emoji25] [emoji25] [emoji144]Ni utani au serious ishu?
Sio lazima kila mtu aelewe kama ulivyo elewa wewe,wengine tunajibu kutokana na thd tulivyoielewa,hii ni kiki ya kitoto kumpa huyo mshirikina wa jf hata kama thd ina maana nyingine.Its a coded message in form of Kwa Mtogole drama.
Dada natamani nifunguke lakini mmh...!Alinipiga sana lakini hakuna atakaeishi milele
Ipo siku ukweli wote utajulikanaBibi na kaka ako mnajuana nyie
mshana jr hongera kaka, wape wape watakuelewa tu[emoji15] [emoji87] [emoji3] [emoji144] dada nimekusoma kwa herufi kubwa[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Usipoelewa usilazimishe eti na wengine hawajaelewa.Sio lazima kila mtu aelewe kama ulivyo elewa wewe,wengine tunajibu kutokana na thd tulivyoielewa,hii ni kiki ya kitoto kumpa huyo mshirikina wa jf hata kama thd ina maana nyingine.
Sasa umemfanya nini tena[emoji15] [emoji87] [emoji3] [emoji144] dada nimekusoma kwa herufi kubwa[emoji25] [emoji25] [emoji25]