Kwako Mshana Jr

Umeweza kuzing'amua maana ktk kuperuzi na mimi ndio nimegundua hilo ha ha ha ila watu walivyojibu ni vichekesho sana maana wameuchukulia literally kumbe inabidi uitafakari kuijua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hasa wale haters wa Jr walijua nimeshaharibu ndio maana wameshadadia mno....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…