Kwako Mshana Jr

Kwako Mshana Jr

Angalia nyuma kwako chini ya kiuno kabla ya k vipi hajakufanyia uharibifu eneo hilo maana hana tofauti na popobawa?
 
Kama alikupiga kwanini hukuenda polisi? unadhani kuanzisha uzi humu itakusaidia kitu? kwa kawaida huyo mshana hata kuja kujibu kwenye hii thd bali atasubiri azungumziwe humu kisha yeye ata anzisha thd nyingine ya kujisafisha,

Anyway kesi haihukumiwi kwa kusikilizwa upande mmoja,ngoja tuone kama atakuja hapa.
Siyo kweli, kama upande wa pili (mlalamikiwa) hawatokei lazima kesi itaendelea kusikilizwa upande mmoja (ex-parte).
 
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?

Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Nilijua alikupa shoo shooo kumbe ni makofi ya kufa moto.
 
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?

Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Kupotea kwa Ben Saanane sio mwisho wa kuhoji PhD ya Faru John
 
Makofi mazito
Kakupiga makofi mazito wapi?
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?

Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Kakulima vingapi vya moto huko ofisini?
 
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?

Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Hiko cha moto ni nini ?
Sijaelewa
 
Back
Top Bottom