Alimuubia baba yako mkeWe pole pole mbona unateseka sana?? Ni kwamba Magufuli alikuwa mwizi period.
Kuitesekea Ilani jambo bora
Spika hajui hata ilani anaropoka tu ohhh bandari ya bagamoyo bayo kwenye ilani haimo
JiziiiiiNchi sio Saccoss ya ufipa wewe
Acha unafiki nduguuu!!! Huyu ndugai Leo haijui ilani ya CCM?Spika hajui hata ilani anaropoka tu ohhh bandari ya bagamoyo bayo kwenye ilani haimo
Spika hajui hata ilani anaropoka tu ohhh bandari ya bagamoyo bayo kwenye ilani haimo
Nakubalina nawe, nashangaa watu kujitoa ufahamu wakati kila kitu kiko kwa maandishi apa............................View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala