Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Magufuli alipojenga uwanja wa ndege Chato, akaanzisha mbuga ya wanyama chato na akatoa wanyama serengeti na kupeleka Chato na akaanzisha pori la akiba chato viliandikwa wapi kwenye Ilani ya 2015-2020???View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala