Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Magufuli alipojenga uwanja wa ndege Chato, akaanzisha mbuga ya wanyama chato na akatoa wanyama serengeti na kupeleka Chato na akaanzisha pori la akiba chato viliandikwa wapi kwenye Ilani ya 2015-2020???View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Muulize kwani uwanja wa ndege chato, pori pa akiba chato na mbuga ya chato vilikuwepo kwenye Ilani ya 2015-2020?Hio ilan ya ccm ,kumbuka watanzania wote sio ccm ...
Kwa iyo sisi tunataka utawala wa haki sawa na maendeleo ya nchi ,...
MniombeeWe pole pole mbona unateseka sana?? Ni kwamba Magufuli alikuwa mwizi period.
UjanjaujanjaMagufuli alipojenga uwanja wa ndege Chato, akaanzisha mbuga ya wanyama chato na akatoa wanyama serengeti na kupeleka Chato na akaanzisha pori la akiba chato viliandikwa wapi kwenye Ilani ya 2015-2020???
Mkuu nchi itaendeshwa kwa muono wa watu hadi lini? umeisoma vizuri ilani ya CCM? iko very subjective. BTW kama serikali haiongozwi na ilani ya vyama vya siasa ndugu yangu. Ilani ni mwongozo wa chama na ulipaswa ureflect muono wetu kitaifa DIRA YA MAENDELEO 2025.View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Usimshangae spika, ccm wengi huwa wanaenda na biti ya raisi, kuna uwezekano raisi wa sasa anatembea biti ya mstaafu kwahiyo wote lazima mfate tu, sasahivi kila atakachoamua mama ndio kinafanyika kwakuwa huu ni wakati wakeSpika hajui hata ilani anaropoka tu ohhh bandari ya bagamoyo bayo kwenye ilani haimo
Nikwambie tu bwana jinga hao ccm wenzako watakushangaza, elewa mradi wa ununuzi wa ndege ndio ushafika mwisho usitegemee kama kuna ndege kati ya zile alizoahidi mwendazake zitanunuliwaHiyo ndio kazi iliyopo mbele yetu na sio blah blah za kuuzia sura bungeni
Simba wa kutosha walishakuwepo BurigiMagufuli alipojenga uwanja wa ndege Chato, akaanzisha mbuga ya wanyama chato na akatoa wanyama serengeti na kupeleka Chato na akaanzisha pori la akiba chato viliandikwa wapi kwenye Ilani ya 2015-2020???
Nakushauri ukamfufueView attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Mungu amekuumbua. Ukiamini kwamba mtu muovu ni shujaa wa nchi. Aliyeamini kwenye kuua kina Sanane na wenzake. Hakika mungu ametenda maajabu. Aliyeiba Kura siyo mwanadam tena leoIkibidi itakuwa hivyo.
Mimi siku zote nkawa nafikiri huyu jingalao ndo Ndugayi! Alafu Mtu kama huyu ukute ni baba mwenye watoto na TRA bila aibu wanachukuaga kodi yake?!😂View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Yule heshima niliyobakiza kwake ni ya kibinadamu tu! Sitaki hata kumsikiaView attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Mtu akifanya kosa na ww unaiga?Magufuli alipojenga uwanja wa ndege Chato, akaanzisha mbuga ya wanyama chato na akatoa wanyama serengeti na kupeleka Chato na akaanzisha pori la akiba chato viliandikwa wapi kwenye Ilani ya 2015-2020???
Bado ndege ya mizigo ni muhimuNikwambie tu bwana jinga hao ccm wenzako watakushangaza, elewa mradi wa ununuzi wa ndege ndio ushafika mwisho usitegemee kama kuna ndege kati ya zile alizoahidi mwendazake zitanunuliwa
lete ushahidi wacha porojoWe pole pole mbona unateseka sana?? Ni kwamba Magufuli alikuwa mwizi period.