Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuuh.... umeandika post bora kabisa... ila mtu akikufatilia uandishi wako anaona hamnazo Mkuu.... Haupo serious na kila kitu au bado ni mtoto sana wa 2006NKAHISI mwamba anataka kytusahaulishaa nn YAAN nilikuwa choon kama dk 7 sikojii sinyi nasikilizia kama KUNA tukio nkarudi mezan weeweee
Nakumbuka kuna wakati hapo kawe alikuwaga mkuu wa kituo smbdy mushi alikuwa anapenda hela htr...hicho kituo kimekaa kidealdeal sana wanalea sana uhalifu police makao makuu sjui hawakitolei macho au ndy kulindanaMKUU hiii n 100% sababu Moja kuu na mbaya ukienda kuwambia wanachofanya wanawambia kabisa nanii KAJAkawachomaaa aisee hiizikazii shida sabaa
Ndiyo zao haoo ukiwaambie hao hao wanakuchomaMKUU hiii n 100% sababu Moja kuu na mbaya ukienda kuwambia wanachofanya wanawambia kabisa nanii KAJAkawachomaaa aisee hiizikazii shida sabaa
Kabisaaa mkuuuNdiyo zao haoo ukiwaambie hao hao wanakuchoma
Kuna wakati jamaa mmoja alienda hapo kuwapa taarifa kuhusu wapemb wanavyoshusha magendo kawe beach hapo
Polisi wa hapo si wakamchoma jamaa kwa wapemb jamaa alikimbiaa 😄
Issue kubwa polisi wako kwenye payroll
Ova
Wale wapemb mafia sana binafsi nawajua kama 3 na aka zao majina ya wacheza mpira wa kibrazilKabisaaa mkuuu
Kamishna ana kazi nzuri sana sanaa
KUNA bandari Moja pale mbweni
Aisee kule n kuchafu hatareeeeeee
KUNA jamaa alikuwa ananiuziaga mizigoo ya nyumban(vyakula kwa JUMLA)
Jamaa ALINIAMBIA mengi sana NKAMWAMBIA si mkaseme pale polisi weeee wakasema brda KUNA watu walienda KUWASHA moto pale Leo HAWAPO na sisi huku beach
Duh
NKASEMA hii chain NGUMU sanaa
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah.Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah
Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji
Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee
Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni
Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk
Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa
N kama vile wanaserikali yaoo ama lah
Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua
Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka
Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia
Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc
Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu
Mungu ibariki tanzania
Kituo cha kawe ni cha deal tuPolisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah.
TAYARI MTAJI WA WATU
Hii avatar yako umenikumbusha mbali sana mzee wetu huyu mzee ruksa hapo alikuwa at his prime time hiyo ilikuwa miaka ya 1980. Hii picha iliwekwa kwenye moja ya noti.Pelekeni haya malalamiko Lugalo
hihi kiongozi, Mimi huyo dada Mimi simjui ila kusema ukweli mitaa ya Jk shule hata kutembea mchana ukiwa mwenyewe panaogopesha....Kuna mbaba sijui ni muhindi yule anakaa opposite na jk alikatwa mapanga saa mbili asubuhi na akapokonywa simuKabisaa mkuuu
Nikiwahi kuandkkaa Mwaka Jana habari zakee akaishia kukamatwa ametokaaa anajitapa hakuna WA kumfunga
Huyu mdada ana cheni ndefu na wenzie WA JK shule aka max pompo
Wanaangamiza vijana na madawa yao ee mola wasaidie
Mkuuu kulee usalama labdaa saa NNE asbhUUk
hihi kiongozi, Mimi huyo dada Mimi simjui ila kusema ukweli mitaa ya Jk shule hata kutembea mchana ukiwa mwenyewe panaogopesha....Kuna mbaba sijui ni muhindi yule anakaa opposite na jk alikatwa mapanga saa mbili asubuhi na akapokonywa simu
Nikiwa kama Mkaazi Mstaafu na Tukuka wa Kawe niseme tu kama kuna Kituo cha Polisi cha hovyo na kilichojaa Maaskari wa hovyo (wala Rushwa wakubwa) wakiongozwa na Mkuu wa Kituo hicho basi ni cha Kawe. Na nimeshakilalamikia sana tu kwa kumtaka RPC na IGP kukifanyia Mabadiliko makubwa ila nasikitika hakuna kilichofanyika hadi sasa.Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach