DOKEZO Kwako RPC; Mama huyu anayeuza dawa za kulevya Mbezi Beach anaharibu kizazi na kuhifadhi mali za wizi

DOKEZO Kwako RPC; Mama huyu anayeuza dawa za kulevya Mbezi Beach anaharibu kizazi na kuhifadhi mali za wizi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wako kwenye payroll polisi wa kawe
Operation hyo labda kikosi kitoke huko ukonga

Ova
MKUU hiii n 100% sababu Moja kuu na mbaya ukienda kuwambia wanachofanya wanawambia kabisa nanii KAJAkawachomaaa aisee hiizikazii shida sabaa
 
NKAHISI mwamba anataka kytusahaulishaa nn YAAN nilikuwa choon kama dk 7 sikojii sinyi nasikilizia kama KUNA tukio nkarudi mezan weeweee
Duuuuuh.... umeandika post bora kabisa... ila mtu akikufatilia uandishi wako anaona hamnazo Mkuu.... Haupo serious na kila kitu au bado ni mtoto sana wa 2006
 
Aloo muraa unasema hapo Kuna mabwia unga na mavuta mineri mijambazi mijizi hovyo hovyo tuje tuyasombe mzobemzobe aloo afande mwita na chacha ebu weka mafuta tukanyavujevunje yawe hoi ova🤣
 
MKUU hiii n 100% sababu Moja kuu na mbaya ukienda kuwambia wanachofanya wanawambia kabisa nanii KAJAkawachomaaa aisee hiizikazii shida sabaa
Nakumbuka kuna wakati hapo kawe alikuwaga mkuu wa kituo smbdy mushi alikuwa anapenda hela htr...hicho kituo kimekaa kidealdeal sana wanalea sana uhalifu police makao makuu sjui hawakitolei macho au ndy kulindana

Ova
 
MKUU hiii n 100% sababu Moja kuu na mbaya ukienda kuwambia wanachofanya wanawambia kabisa nanii KAJAkawachomaaa aisee hiizikazii shida sabaa
Ndiyo zao haoo ukiwaambie hao hao wanakuchoma
Kuna wakati jamaa mmoja alienda hapo kuwapa taarifa kuhusu wapemb wanavyoshusha magendo kawe beach hapo
Polisi wa hapo si wakamchoma jamaa kwa wapemb jamaa alikimbiaa 😄
Issue kubwa polisi wako kwenye payroll

Kabisaaa mkuuu
Kamishna ana kazi nzuri sana sanaa

KUNA bandari Moja pale mbweni

Aisee kule n kuchafu hatareeeeeee

KUNA jamaa alikuwa ananiuziaga mizigoo ya nyumban(vyakula kwa JUMLA)

Jamaa ALINIAMBIA mengi sana NKAMWAMBIA si mkaseme pale polisi weeee wakasema brda KUNA watu walienda KUWASHA moto pale Leo HAWAPO na sisi huku beach

Duh

NKASEMA hii chain NGUMU sanaa
 
Wale wapemb mafia sana binafsi nawajua kama 3 na aka zao majina ya wacheza mpira wa kibrazil
Wale wakishusha mizigo polisi wenyewe wakigumiana wanachenjiana 😄
Wale kiboko yao labda waje TRA ila polisi hapana polisi ni watu wa kudaka hela

Ova
 
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach

Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada

Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi

Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah

Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji

Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee

Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni

Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk

Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa

N kama vile wanaserikali yaoo ama lah

Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua

Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka

Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia

Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc

Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu

Mungu ibariki tanzania
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah.
TAYARI MTAJI WA WATU
 
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah.
TAYARI MTAJI WA WATU
Kituo cha kawe ni cha deal tu

Ova
 
UUk
Kabisaa mkuuu

Nikiwahi kuandkkaa Mwaka Jana habari zakee akaishia kukamatwa ametokaaa anajitapa hakuna WA kumfunga

Huyu mdada ana cheni ndefu na wenzie WA JK shule aka max pompo

Wanaangamiza vijana na madawa yao ee mola wasaidie
hihi kiongozi, Mimi huyo dada Mimi simjui ila kusema ukweli mitaa ya Jk shule hata kutembea mchana ukiwa mwenyewe panaogopesha....Kuna mbaba sijui ni muhindi yule anakaa opposite na jk alikatwa mapanga saa mbili asubuhi na akapokonywa simu
 
Mkuuu kulee usalama labdaa saa NNE asbh

Mi niliiwahi kufanya mazoezi asbh kule wakaja wahuni wawili wakampora mama MMOJA simu

Walipofika karibu Yangu wakapunguza mbioo wakawa kama wako na mm

Gafla nkasikia. Wezii haooo nkashangaa jamaa wameniacha gaflaa

Kumbe mama MMOJA anaenda hospt mwanae Yuko icu wakampitia alililia aisee

BAHATI simu naiweka kwenye SEHEMU za risi KUNA bukta nyingine

Nkamwomba twende mpaka chini kwenye lami nkamtolea 12"000. Kwa simu nkamshauri hospt nenda mama aisee bado kidogo apige magoti nkamwomba stoooooop pls..na pole sana

Pona Yangu nilikuwa na jezi za 🏀
Alipofika yule mdadaa analia nkauliza mbona waliponkaribia walikuwa kama wanafanya mazoezi na mm

Aisee sijarudi Tena kuleee never

Aise
 
Tatizo sio bangi tatizo ni wahuni wanaotumia bangi kama kisingizio cha kufanya uhuni
 
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach

Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada

Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi

Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah

Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji

Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee

Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni

Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk

Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa

N kama vile wanaserikali yaoo ama lah

Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua

Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka

Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia

Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc

Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu

Mungu ibariki tanzania
Nikiwa kama Mkaazi Mstaafu na Tukuka wa Kawe niseme tu kama kuna Kituo cha Polisi cha hovyo na kilichojaa Maaskari wa hovyo (wala Rushwa wakubwa) wakiongozwa na Mkuu wa Kituo hicho basi ni cha Kawe. Na nimeshakilalamikia sana tu kwa kumtaka RPC na IGP kukifanyia Mabadiliko makubwa ila nasikitika hakuna kilichofanyika hadi sasa.

Labda nichukue tu nafasi hii kuwaomba Washkaji zangu wa Lugalo hapo akina MP Isaya, Chinga na Wengineo hebu endesheni Oparesheni hilo Eneo kwani nawakubali mno kwakuwa kuna Mwaka mlinifanyia Oparesheni moja hivi hapo Kawe Sokoni, Umbwelani, Ukwamani hadi Maringo na Uhuni wote ulienda Likizo huku 99% ya Wahuni wenyewe wakiamua rasmi kwenda kwa Mwamposa kusikiliza Neno na kuwa Walokole.
 
Back
Top Bottom