Kwako sky eclat

Tusiwalaumu maana memba wote wa JF kama akina manengelo wanakuwa wametendwa ajabu! Hivyo hata yeye anaangalia risk factor na kwa mantiki hiyo lazima awe na spea taili kwa usalama wake. Taratibu tutafika. Wewe ulidhani Madam B angetulia? Unamuona Nifah ana makeke siku hizi. Ukiona mwanamke hapa JF na makeke sana jua hajapata wa kumtuliza akipata yupo tuli kama miss chagga
 
Hahahahahahahahah mi nawaangaliaaa nasema hiiiiiiiiiiiiii
 



Hebu niache nile uzee kwa amani ww mtoto..kuwa na adabu
 
Haha hahahwh..ila mimi sijawahi kufikwa na hayo mzee baba. ..yaani huwa sihitaji kabisa hizo mambo
 
Aahhh yupo sio mtu wa kuyumbishwa na vitu vidogo kama hivyo. .Yeye mwenyewe AliiShia kucheka tu... na wala Haku achana na yule manzi waliendelea kulana kimya kimya tu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Ana moyoooooo
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Ana moyoooooo
Hahaha sio kwamba ana moyo ila amekuwa fisi. ..Wajua ukiwa fisi inakuwa hausikii maumivu. Hata ukisikia unaweza Kuya handle. .. so walimua kuendelea but sio kwa serious relation
 
Yeah kama una moyo mwepesi na ufisi hauuwezi. .usithubutu kujiingiza kwenye hizo issue
Tatizo hawasemagi mapema. Jamani jamani moyo wako ukimdondokea mtu useme mapema, Jabari za kuwekeana vitu majukwaani inakuwa jau sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hahaha. .kumbe wewe unafaa kuwa katibu wa Chama chetu Mafisi. .kimya kimya ndio mpango. .. Hakuna kumfungulia mtu thread/wala kufunguliwa aise. .... hatutaki pressure
Kimya kimya halafu nawaangalia wapiga kelele nacheeeeeeeeka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
 
Hahaha humu mkuu unaweza kumueleza mtu mapema na mkakubaliana. .but kumbe kwenye Playlist yake wewe ni mtu wake wa 6 humu
Tatizo hawasemagi mapema. Jamani jamani moyo wako ukimdondokea mtu useme mapema, Jabari za kuwekeana vitu majukwaani inakuwa jau sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha dadeki. .... Mimi hapana aise...sijawahi kukutwa na hayo maseke. .tena laiti yangenifika Nisinge thubutu kusema. .ninge piga kimya kama vile mwili wangu una button ya airplane mode
Story si yako Mkuu unajitengenezea muhusika mwingine, ujisafishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ