Kwako sky eclat

Kwako sky eclat

Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa

Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active

Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo rafiki yako kama nammanya[emoji848][emoji848]

Siku hizi sioni hata wakibebishana tena sijui ndio walimwagana, tena naona hadi kidume alibadili id[emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha. Dadeki baki na siri yako please
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo rafiki yako kama nammanya[emoji848][emoji848]

Siku hizi sioni hata wakibebishana tena sijui ndio walimwagana, tena naona hadi kidume alibadili id[emoji1787][emoji1787]
 
Natumai u mzima wa afya kabisa pamoja na wote wanaokuhusu

Kama kweli yaliyomo yamo kupitia threads zako basi nahitimisha kuwa Wewe utakuwa Ni Mama bora kabisa hasa kwa mabinti zako[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Lengo la barua hii Ni kukutaarifu na kukuomba kwa hekima zako uniangalizie miongoni mwa BINTI zako aliyeko tayari kuishi Kama mke Ili tuweze kuishi katika ndoa iliyo takatifu kabisa

Mimi Ni kijana wa kawaida kabisa(Mwanamume)[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Kwa mapungufu yoyote utanivumilia tu Kama mkwe wako mpendwa mtarajiwa

Natunguliza shukrani za dhati kabisa zenye uhai ndani yake
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mtaani kwenu mnakaa boarding boys tupu au?
 
Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa

Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active

Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana Mkuu
 
Back
Top Bottom