Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha pole mimi tena?
Tusiwalaumu maana memba wote wa JF kama akina manengelo wanakuwa wametendwa ajabu! Hivyo hata yeye anaangalia risk factor na kwa mantiki hiyo lazima awe na spea taili kwa usalama wake. Taratibu tutafika. Wewe ulidhani Madam B angetulia? Unamuona Nifah ana makeke siku hizi. Ukiona mwanamke hapa JF na makeke sana jua hajapata wa kumtuliza akipata yupo tuli kama miss chaggaSawa
Hahahahahahahahah mi nawaangaliaaa nasema hiiiiiiiiiiiiiiLol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa
Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active
Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
Tusiwalaumu maana memba wote wa JF kama akina manengelo wanakuwa wametendwa ajabu! Hivyo hata yeye anaangalia risk factor na kwa mantiki hiyo lazima awe na spea taili kwa usalama wake. Taratibu tutafika. Wewe ulidhani Madam B angetulia? Unamuona Nifah ana makeke siku hizi. Ukiona mwanamke hapa JF na makeke sana jua hajapata wa kumtuliza akipata yupo tuli kama miss chagga
Hahahahahahaha kabisa kabisaWapiga kelele maranyingi ni washika pembe
Mbea wewe... Ukimjua uninong'onezeHahaahha iwish nimjue huyo jamaa
Hahaha wewe hautaki kuwa na mbebez humu. .au ndio kimya kimyaHahahahahahahahah mi nawaangaliaaa nasema hiiiiiiiiiiiiii
Haha hahahwh..ila mimi sijawahi kufikwa na hayo mzee baba. ..yaani huwa sihitaji kabisa hizo mamboTusiwalaumu maana memba wote wa JF kama akina manengelo wanakuwa wametendwa ajabu! Hivyo hata yeye anaangalia risk factor na kwa mantiki hiyo lazima awe na spea taili kwa usalama wake. Taratibu tutafika. Wewe ulidhani Madam B angetulia? Unamuona Nifah ana makeke siku hizi. Ukiona mwanamke hapa JF na makeke sana jua hajapata wa kumtuliza akipata yupo tuli kama miss chagga
Hivi mimi hutaki kunambia jamani? Mie mdogo wako hivyooooHahaha. Dadeki baki na siri yako please
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Ana moyooooooAahhh yupo sio mtu wa kuyumbishwa na vitu vidogo kama hivyo. .Yeye mwenyewe AliiShia kucheka tu... na wala Haku achana na yule manzi waliendelea kulana kimya kimya tu
Ungefanyaje mkuu???Cc; Sister Sky Eclat kuna barua yako ya wazi kabisa huku..!
How I wish crushie wangu wa humu JF ndo angekuwa ameanzisha hii siredi..!!
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Story si yako Mkuu unajitengenezea muhusika mwingine, ujisafishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimya kimya halafu nawaangalia wapiga kelele nacheeeeeeeeka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]Hahaha wewe hautaki kuwa na mbebez humu. .au ndio kimya kimya
Hahaha sio kwamba ana moyo ila amekuwa fisi. ..Wajua ukiwa fisi inakuwa hausikii maumivu. Hata ukisikia unaweza Kuya handle. .. so walimua kuendelea but sio kwa serious relation[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Ana moyoooooo
Tatizo hawasemagi mapema. Jamani jamani moyo wako ukimdondokea mtu useme mapema, Jabari za kuwekeana vitu majukwaani inakuwa jau sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yeah kama una moyo mwepesi na ufisi hauuwezi. .usithubutu kujiingiza kwenye hizo issue
Kimya kimya halafu nawaangalia wapiga kelele nacheeeeeeeeka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
Tatizo hawasemagi mapema. Jamani jamani moyo wako ukimdondokea mtu useme mapema, Jabari za kuwekeana vitu majukwaani inakuwa jau sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Story si yako Mkuu unajitengenezea muhusika mwingine, ujisafishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]