Kwako sky eclat

Kwako sky eclat

Hahaha sio kwamba ana moyo ila amekuwa fisi. ..Wajua ukiwa fisi inakuwa hausikii maumivu. Hata ukisikia unaweza Kuya handle. .. so walimua kuendelea but sio kwa serious relation
Hahahahahaah dah
 
Hahaha. .kumbe wewe unafaa kuwa katibu wa Chama chetu Mafisi. .kimya kimya ndio mpango. .. Hakuna kumfungulia mtu thread/wala kufunguliwa aise. .... hatutaki pressure
Unamfungulia mtu siredi ili iweje hahahahahahaha we unafungua hapa ukikaa dakika kadhaa pm imejaa lawama nani anataka hahahahhahahahaha hebu mie
 
Aahhh yupo sio mtu wa kuyumbishwa na vitu vidogo kama hivyo. .Yeye mwenyewe AliiShia kucheka tu... na wala Haku achana na yule manzi waliendelea kulana kimya kimya tu
Whaaaat!! Sasa mbona humu ndani anaplay udecent[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Hahaha humu acha kabisa. Wewe unajibebisha kwenye thread. .kumbe wezi wa penzi lako wana kuibia huko pm wana kuchora tu
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Ujuwe nacheka huku niliko hahahahahahahahah jamani jf...... Melo atabaki kuwa juuu kutuletea hiii kitu
 
Back
Top Bottom