exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
nikupe PHD yaukichaaSi ulime ya ww n'a familia yako tuu.kisha hiyo hela ya kulima kibiashara chagua kulima mananasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikupe PHD yaukichaaSi ulime ya ww n'a familia yako tuu.kisha hiyo hela ya kulima kibiashara chagua kulima mananasi
Serikali kutangaza kununua chakula Kutoka wakulima wakati huo huo WANUNUZI Kutoka nje wakiambiwa wapate kwanza Export licence Kutoka mamlaka husika huoni kuwa ni zuio Hilo?Hii ndio hali halisi ya Watz kukurupuka na kutosikiliza mambo kwa umakini ivi ni sehemu gani rais kasema kuwa amekataza kuuza chakula nje?
Mm nilicho kisikia kutoka kwa rais ni kuwa serikali inataka kununua nafaka zaidi ya tani 500,000 hivyo kawashauri wakulima waiuzie serikali nafaka zao badala ya kupeleka nchi za nje sijasikia popote alipo sema kuwa kuanzia sasa ni marufuku mazao kuuzwa nje ya nchi.
Una akili sana bro.Unaangalia mambo kinyumenyume. Huwezi fikia kuzalisha chakula cha kutosha na mapinduzi ya kilimo kama unazuia kuuza mazao nje. Miaka zaidi ya 60 tumekuwa na sera kama hiyo na haijafanikiwa.
Kwanza unaacha watu wauze huko nje na popote, kama alivyofanya Bashe. Watu wakiona soko lipo na zuri ndipo wataingia na kulima mashamba makubwa, watanunua matrekta, watalima kwa umwagiliaji, watachimba visima nk nk.
Sera yoyote ya kuboresha kilimo haiwezi kufanikiwa mpaka pale kutakapokuwa na soko la uhakika na bei nzuri.
Serikali haifuati mambo yenu ya biblia. Usirudie tena kuandika huu ujinga wako wa kutufananisha na hao watu wa enzi za ujima.Napenda kumshukuru sana Mhe. Rais kwa kuufanyia kazi ushauri wangu nilioushauri kwa Waziri Mkuu mwezi February juu ya suala la kuuza vyakula nje.
👇
Kwa Waziri Mkuu.
Farao hakuuza chakula nje kwa sababu nje kulikuwa na njaa, bali Farao aliuza chakula nje kwa sababu ndani kulikuwa na akiba ya kutosha:
©️ Mwl. Makungu m.s
0743781910
Mfalme Suleiman anasema katika Mithali 6:6>
"Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima. Kwa maana yeye hana akida, wala msimamizi, wala mkuu, Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaondoka lini katika usingizi wako?"
Mhe. Waziri, kama hatujafikia hatua ya mapinduzi ya kilimo, kwanini turuhusu vyakula vitoke? Kama hatuna akiba ya kutosha, kwanini tutapanye chakula chetu nje?
Waziri Mkuu mwenzako aitwaye Yusufu wa nchi ya Misri chini ya Mfalme Farao wa nyakati hizo, alikuwa na sera ambayo serikali ilihusika moja kwa moja na kilimo bora cha nyakati hizo. Na si hilo tu,serikali ndiyo ikawa mnunuzi mkuu wa mazao ya chakula (nafaka) toka kwa wakulima ndani ya nchi.
Wakulima wote, wafanyabiashara wa mazao wote walitakiwa kuiuzia serikali chakula. Ikawa na akiba ya kutosha san, na ilipofika wakati wa njaa kali, serikali ikawa na uwezo wa kulisha nchi nzima kwa miaka 7 bila mavuno yoyote ndani ya hiyo miaka. Ikawauzia wananchi wake chakula kwa bei ya kawaida.
Na kuonesha ni jinsi gani walikuwa na akiba ya kutosha wakawauzia hadi watu wa nchi ya jirani. Na kwa kuwa njaa ilikuwa kali kwa muda mrefu,hata watu walipoishiwa hela kabisa wakaweka dhamana ardhi zao kwa serikali wakaendelea kupewa chakula. Hata wasiokuwa na ardhi wakaweka dhamana nguvu zao kufanya kaz za serikali wakapewa chakula.
Haya yote yalifanyika kwasababu serikali ilikuwa na akiba ya kutosha.
Hebu tujitafakari sisi Mhe. Waziri; je, tunafanana na chungu au ni wavivu tumelala usingizi?Kama serikali haitaki kujihusisha na ununuzi wa mazao ya chakula na inaijua nchi yetu haijafikia mapinduzi ya kilimo, kwanini itapanye vyakula nje?
Tunatakiwa tufike hatua ambayo tuwe na akiba ya kutosha kiasi kwamba sisi wa ndani tuuziane kwa bei ya kawaida halafu wale wa nje ndiyo tuwauzie bei juu.
Nchi yetu tangu mwaka juzi vyakula vimepanda bei sana na vinazidi kupanda. Siyo kwa sababu hatuna mavuno, bali ni kwa sababu mavuno yanaenda nje na hatuna mapinduzi ya kilimo ya kuleta mavuno ya ziada.
Je, sisi bado ni wavivu tuliolala usingizi?!
Mhe. Waziri, Mafarisayo walimuuliza Yesu, "Tuambie, unafanya mambo haya kwa mamlaka ya nani?"
Makungu m.s
0743781910
26 February 2023
Kuruhusu mahindi na mchele kuuzwa nje ya nchi hakutaongeza uzalishaji wa mazao hayo kwa sababu mbili kubwa:Hii nchi viongozi wetu hawana msimamo kbs... Rais na Bashe wakae wayamalize.. Ili kilimo kikue lazima bei iwe nzuri evidence yeyote ambayo imeletwa ikathibitisha kuwa baada ya chakula kuuzwa nje nchi iliingia kwenye bar la njaa au vitani... Evidences zilizopo ni kwamba chakula kikiuzwa nje kwa bei nzuri ndivyo ambavyo wakulima huhamasika kuzalisha zaidi na zaidi..
Bata Waheed..
Hahahahahaha ila inawatambua viongozi wa dini zote na inahitaji maombi yao .. maombi ya wajinga hahahahaSerikali haifuati mambo yenu ya biblia. Usirudie tena kuandika huu ujinga wako wa kutufananisha na hao watu wa enzi za ujima.
Upo sawa kbs kiongozi. Ndiyo maana tunashauri serikali iwe mnunuzi mkuu wa mazao ya chakula . Ili wakati wa njaa ituuzie kwa bei nafuuUkiruhusu mkulima auzao kienyeji njaa itakuwa kali nchi hii maana mkulima anauza hadi mbegu kisa pesa
Hapo sawa mkuu serikali inunue .maana watu wanaandika bila kufikiri hii nchi njaa ajawahi tokea mpaka watu wakafa njaa ikitokea hilo ndo watajua umuhimu wa chakula.Unaweza ukawa na pesa chakula cha kununua hakipo.hapo ndo mtajua umuhimu wa kutouza chakula ovyo kisa pesa.Ipo siku yaja watu watafutulu majiUpo sawa kbs kiongozi. Ndiyo maana tunashauri serikali iwe mnunuzi mkuu wa mazao ya chakula . Ili wakati wa njaa ituuzie kwa bei nafuu
Hahahaha Ndugu tumegawana majukumu..Lima heka moja tu ya mahindi Kisha tuonane mwaka kesho mwezi Kama huu utupe mlejesho
Je namna inayofaa ni ipi? TupendekezeSi ulime ya ww n'a familia yako tuu.kisha hiyo hela ya kulima kibiashara chagua kulima mananasi
Si ulime ya ww n'a familia yako tuu.kisha hiyo hela ya kulima kibiashara chagua kulima mananasi
Ukiuza mazao nje utapata Pesa nyingi utanuanua trekta utalima eneo kubwaKuruhusu mahindi na mchele kuuzwa nje ya nchi hakutaongeza uzalishaji wa mazao hayo kwa sababu mbili kubwa:
1. Bado wakulima wetu wanategemea jembe la mkono
2. Kilimo chetu bado kinategemea mvua- ambayo kutokana na athari za tabia nchi/climate change-hazitabiriki (kunyesha na kiasi)
Tuzidi kushauri ilivyo sahihi zaidi ..Ukiuza mazao nje utapata Pesa nyingi utanuanua trekta utalima eneo kubwa
Pili, trekta linasaidia sana kupambana na tatizo la tabia ya dunia kwa maana utaweza kumaliza kulima kwa wakati...
Tusiwafanye wakulima wa Tanzania kama misukule wetu........na wenyewe pia wanafamilia na wanatamani kuwa matajiri. Kimfaacho mtu chake.....Napenda kumshukuru sana Mhe. Rais kwa kuufanyia kazi ushauri wangu nilioushauri kwa Waziri Mkuu mwezi February juu ya suala la kuuza vyakula nje.