Sweya Makungu
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 508
- 601
- Thread starter
-
- #41
Tuweke namna bora itakayotuvusha Wote kwa ubora ,wakulima na taifa pia..Tusiwafanye wakulima wa Tanzania kama misukule wetu........na wenyewe pia wanafamilia na wanatamani kuwa matajiri. Kimfaacho mtu chake.....
Ubarikiwe Sana mkuu kwa ujumbe mzuri Sana .Wakulima wamelima na kupata hizo nafaka kwa wingi baada ya serikali kuwapatia mbolea ya ruzuku ambayo source yake ni kodi za watanzania wote. Na ni wazi kabisa kwamba watoaji wakubwa wa kodi nchi hiyo ni wale waishio mjini itakuwa ni kukosa hekima baadhi ya watu watakuwa na mawazo kwamba mkulima akizalisha nafasi zake basi auze mazao yake bila uthibiti na watu wa mjini hawana haki juu ya mazao hayo simply hawakushiriki kulima
Ndugu yangu pia naomba kura yako kwny shindano la stories of changeWakulima wamelima na kupata hizo nafaka kwa wingi baada ya serikali kuwapatia mbolea ya ruzuku ambayo source yake ni kodi za watanzania wote. Na ni wazi kabisa kwamba watoaji wakubwa wa kodi nchi hiyo ni wale waishio mjini itakuwa ni kukosa hekima baadhi ya watu watakuwa na mawazo kwamba mkulima akizalisha nafasi zake basi auze mazao yake bila uthibiti na watu wa mjini hawana haki juu ya mazao hayo simply hawakushiriki kulima
HahahahaahaNendeni mkalime na nyie msipangie watu kila kitu.
Bila kupangiana utaratibu Ndugu yangu mambo yataenda hovyo SanaNendeni mkalime na nyie msipangie watu kila kitu.
Ndugu Naomba pia kura yako kwny shindano la stories of changeNendeni mkalime na nyie msipangie watu kila kitu.
Acheni kukaa mjini mkalime acheni mambo yenu yaani wewe upo na bundle tuu mwenzako ana sweat juani then uje umpangie kizembe hivi ni upuuzi mtupu.Bila kupangiana utaratibu Ndugu yangu mambo yataenda hovyo Sana
Kama mada zako ndo hizi kura sipigi.Ndugu Naomba pia kura yako kwny shindano la stories of change
SoC03 - Tulipokuwa tukiwacheka watoto wa mitaani, hatukujua kuwa tutakuja kuwa wasomi wa mitaani
Tulipokuwa Tukiwacheka Watoto wa Mitaani, Hatukujua Kuwa Tutakuja Kuwa Wasomi wa Mitaani.. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Unaikumbuka ile miaka ya 90 kuja juu kidogo wakati miji mikubwa ilipoanza kupata tatizo la kuongezeka kwa watoto wa Mitaani? Unayakumbuka majina mabaya...www.jamiiforums.com
Hahahahaha mkuu mm ni mkulima piaAcheni kukaa mjini mkalime acheni mambo yenu yaani wewe upo na bundle tuu mwenzako ana sweat juani then uje umpangie kizembe hivi ni upuuzi mtupu.
DuuuuuKama mada zako ndo hizi kura sipigi.