Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia.

Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo.

Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Hiki kilishajengwa miaka kadhaa nyuma. Yaani Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi.

Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.

Hii ni mifano tu, lakini vituo vya hivi viko vingi tu apitie na huko pia. Asiende Mikocheni sababu tu kina Anna Tibaijuka wamelalamika.
Vile vya mjini-kati je? Katikati ya maghorofa marefu na hata jirani na ofisi za serikali.https://youtu.be/ngxhRtBOozo?si=AUpx_hZfguTdJcFb
 
Hii ni karne ingine kabisa.
Kwani vituo kuwa kwenye makazi kuna tatizo gani...???
Hapa Dar viko vituo kwenye makazi since enzi za ukoloni
Ukoloni upi huo?! Haujui athari za vituo kukaa katika makazi ya watu subiri utakuja kuelewa.
 
Watu bwana...

Kwa hiyo hivyo vituo vijengwe porini ambako hakuna watu...???

Watu ndo wenye magari, inatakiwa wajaze mafuta... sasa vituo vikajengwe wapi kusiko na watu????
qanunue nyumba za jirani
 
Hii ni karne ingine kabisa.
Kwani vituo kuwa kwenye makazi kuna tatizo gani...???
Hapa Dar viko vituo kwenye makazi since enzi za ukoloni
Nashangaa sana na hii mada
Hata London vituo vipo kwenye makazi yaani Dunia nzima vituo vinakuwa kwa watu na nje kwa ajili ya wasafiri
Vituo wanavyodhibiti ni wale wanaojenga kwenye maeneo ambayo hayaruhusiwi na sio kwa ajili ya kituo cha mafuta ila wamehonga na kujenga

Hizi ndio hazitakiwi lakini sio kama wengine walivyoelewa kuwa hakuna kujenga kwenye makazi huo ni upotoshaji kabisa au hawakuelewa
 
Kufuata sheria ni kuwanyanyasa? Tumia akili badala ya makalio kufikiri
Wewe ndugu ndio nadhan unatumia makalio, Sheria Gani hiyo Kwa mfano, jua ili kituo kijengwe Kuna process nyingi za kitaalamu, Sasa unafikiria mwenye kituo hajafuata taratibu zote!? Cha kuzingatia na wewe usiofikiria ni kujua miji Yetu ni big Slum, Yaani hakuna mipango miji, Hivyo nashauri waziri asimamie mipango miji na Sio kutua aibu ya miji kutopangiliwa Kwa Watu wachache
 
Nashangaa sana na hii mada
Hata London vituo vipo kwenye makazi yaani Dunia nzima vituo vinakuwa kwa watu na nje kwa ajili ya wasafiri
Vituo wanavyodhibiti ni wale wanaojenga kwenye maeneo ambayo hayaruhusiwi na sio kwa ajili ya kituo cha mafuta ila wamehonga na kujenga

Hizi ndio hazitakiwi lakini sio kama wengine walivyoelewa kuwa hakuna kujenga kwenye makazi huo ni upotoshaji kabisa au hawakuelewa
Kwani hayo maeneo yasiyoruhusiwa wanaishi malaika!? Nadhan hili zengwe ameamzisha professor Tibaijuka ambaye amekuwa waziri WA Ardhi muda mwingi ameshindwa kuitendea miji yetu haki, sasa akili imefunguka baada ya kustaafu!! My Goodness
 
Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia.

Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo.

Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Hiki kilishajengwa miaka kadhaa nyuma. Yaani Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi.

Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.

Hii ni mifano tu, lakini vituo vya hivi viko vingi tu apitie na huko pia. Asiende Mikocheni sababu tu kina Anna Tibaijuka wamelalamika.
Huo uwaziri hatamaliza nao mwaka mpya, mdanganye
 
Hapa Sumbawanga Manispaa kinapakana na OFISI ya CCM MKOA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kwani hayo maeneo yasiyoruhusiwa wanaishi malaika!? Nadhan hili zengwe ameamzisha professor Tibaijuka ambaye amekuwa waziri WA Ardhi muda mwingi ameshindwa kuitendea miji yetu haki, sasa akili imefunguka baada ya kustaafu!! My Goodness
Ndio maajabu hayo
 
Hapana Mkuu sio kuwa wanaishi malaika bali upimaji na Romani za miji kila sehemu ina maeneo yake
Mimi ndio nafahamu hivyo
Kama sehemu imepangiwa kuwa Shule haiwezi kubadilika ikawa kituo cha Polisi labda Rais tu ndio anaweza kuibadili
Kuna vituo vingi vya mafuta kwa sasa ambapo mwanzo kwa mfano Wilaya moja unaweza kukuta waliweka maandalizi ya vituo viwili tu kwa hiyo naona ni Ardhi ndio wanajipangia sasa

Wengi ni waroho tu na wanakula haswa
 
Mkuu Sio busara kwenda km 4 kumfuata mafuta, hata Kama plan zipo, walitakiwa wazisimamie, Sasa mambo yote ni holela, wameruhusu hata magorofa kwenye squatters ambapo hakuna planning unategemea Nini!? Tuangalie tulipo jikwaa tusije dandia train Kwa mbele!! Tumefukuza wawekezaji tukawa tunashangilia ila Sasa tunalipa fidia tunaanza kulia!! Let's be hamble after All the mistakes
 
Tatizo ni rushwa mkuu sio kingine
Hapo kama inahitajika kituo cha mafuta kiwepo bila rushwa
Ila viongozi wengi aidha ni chuki au njaa tu
Mimi sipingi kituo kiwepo hapo ila kama amejenga hapo angeambiwa aendeleze tu kwani serikali inapata kodi yake
Ila waroho hawaangalii kodi ya serikali bali matumbo

Mkuu huku nilipo petrol stations zilikuwa nyingi sana ila baada ya kuja supermarkets na biashara ya mafuta basi wafanyabiashara wengi walifunga biashara zao kwa kukosa wateja
Na hizo sehemu kwa sasa ni Car wash tupu kila kona

Narudia tatizo sio mipango miji tu hapana ni tamaa za wachache
 
Kiongozi upo very realistic and reasonable reasons, ila Serekali ikiweka Watu wapenda Rushwa na kutoa vibali holela Kwa Rushwa na mfanyabiashara ana vibali genuine, Nani alaumiwe!? Nawashauri wafanyabiashara wanao onewa waende kotini Wadai fidia ya usumbufu
 
Kwani hayo maeneo yasiyoruhusiwa wanaishi malaika!? Nadhan hili zengwe ameamzisha professor Tibaijuka ambaye amekuwa waziri WA Ardhi muda mwingi ameshindwa kuitendea miji yetu haki, sasa akili imefunguka baada ya kustaafu!! My Goodness
 
Wanatoza faini Huku wakifurahia vingine vikiota!! Anyway Mimi Naona huduma inamsogelea mlaji, over years and years sijasikia kituo kimeungua, hopefully safety wanazingatia kuliko wauza gesi
 
Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia.

Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo.

Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Hiki kilishajengwa miaka kadhaa nyuma. Yaani Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi.

Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.

Hii ni mifano tu, lakini vituo vya hivi viko vingi tu apitie na huko pia. Asiende Mikocheni sababu tu kina Anna Tibaijuka wamelalamika.
Ukitoka mataa ya africana kama unaenda Whitlands hotel mita 300 kutoka mataa kabla ya njiapanda ya kwa mwamnyange katikati ya makazi ya watu, lake oil anajenga kituo, mbaya zaidi walimwaga kokoto barabarani bila tahadhari zikasababisha ajali iliyouwa bodaboda
 
Watu bwana...

Kwa hiyo hivyo vituo vijengwe porini ambako hakuna watu...???

Watu ndo wenye magari, inatakiwa wajaze mafuta... sasa vituo vikajengwe wapi kusiko na watu????
Na mitungi ya gesi iondolewe kwenye nyumba ipelekwe mahotelini yasio laza watu
 
JERRY SILAA is scam . Mhe Rais alimteua akisa na pressure ya Dp World. Jerry akatae rushwa ya milioni 300? Akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PIC amechukua rushwa nyingi viongozi wa Mashirika ni mashahidi. Bora akae kimya kabla video hazijatolewa.
 
Back
Top Bottom