Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
BarakaAllahufik (may blessings of Allah covers your way)Mkuu wewe umedadavua vizuri sana na Allah akusimamie kwenye imani yako, achana na hawa wapiga mboyoyo ambao kila jambo wanaliweka kwenye siasa
MwenyeziMUNGU AWASAMEHE..Wewe umeongea vizuri sio hawa watu wengine wasiojua
Ndg wa imani mpendwa... naomba upanue kifuwa ili ubebe dini yako, naomba ujiongeze kichwani ili usome na uboreshe ubongo na tafakuri zako...Pole kwa maarifa finyu,naomba ulete ushahidi w kwqmba muislamu anaruhusiwa kuswali kanisani
Ahssante.., ulivyocheza kamari uliliwa pesa zako?? Hahaha...Hiv unajua kanisan kuna Masanamu na picha? Swala gani itakubaliwa ukiswali mbele ya Masanamu picha na misalaba? Hiii ni uongo na huruhusiwi had uviondoe vyote vinavyoweza kubatilisha swala, zaman makanisa yaligeuzwa kuwa misikiti na kuondolewa picha na sanam ndo watu wakaruhusiwa kufanya ibada
Ujerumani pia waliwahi kutoa kanisa ligeuzwe msikiti ,sisi waganga njaa ndio tunaoongoza kujadili vitu visivyokuwa na maana ,hivi unaanzaje kuuita mchango ni batiri kisa umetoka kanisani?Ndg wa imani mpendwa... naomba upanue kifuwa ili ubebe dini yako, naomba ujiongeze kichwani ili usome na uboreshe ubongo na tafakuri zako...
Sasa ingia google uandike makanisa mangapi yaliyo nunuliwa na waislam na mangapi yamegeuzwa masjid!!
Kwa maelezo zaidi wakati wa machafuko hapo CAR hapo walipovamiwa na kukimbizwa nchini humo ..Waiislam walipewa hifadh ktk makanisa ya WaKristo.. napo waliweza Kuswali na kufanya ibada bila adha au kero!! Na huko Bosna pia .. na huko Egypt na hata Cordoba-Spain matokeo mbalimbali yameshuhudia !!
Wee mwanangu acha jazba.. Read (soma, iqra'a) utafaidika na kuwa mwenye hikma na busara zaidi.
Allah akuhidi.. Amin
Ahssante... na mubarikiwe hapa Duniani.. I hope kama patakuwepo na Harambee ingine msitusahau !!Ujerumani pia waliwahi kutoa kanisa ligeuzwe msikiti ,sisi waganga njaa ndio tunaoongoza kujadili vitu visivyokuwa na maana ,hivi unaanzaje kuuita mchango ni batiri kisa umetoka kanisani?
Acha kupotosha watu dini haipelekwi kwa mitazamo na busara za kila mtu, din ina mafundisho yake epuka kutoa mafunzo usiyo na elimu nayo juu ya din utakua Ni mwenye kubeba dhambi na kuulizwa siku ya mwshoAhssante.., ulivyocheza kamari uliliwa pesa zako?? Hahaha...
Kuwepo sanamu au msalaba ni ushawishi wako tu.. kwa sbbu unashangashnga na kurusja macho ovyo ovyo unapo swali!!
Allah SWT ametusihi tuwe wanyenyekevu na uzingatio ktk swala na siyo kutazama huku na huku..
Pili:- Katika dunia hii hakuna mwenye haki ya kuikubali ibadaa(swala) au kuihukumu swala ati imekubalika au imebatilika.. NO !!
FYI.., Mwenye mamlaka hiyo ni ALLAH pekee yake tu.
Tatu:- Allah katuambia yeye hahusiki na uso au umbike la mwanaAdamu ispokuwa hutazama Moyo wa mwanadamu na hakika moyo ndiyo huhodhi "Nia" na dhamira ya twa'a ya tendo la haki/kheri au shari !!
Nne:- unapo Sujudu unalazimika kuweka paji la uso wako chini... hiyi ni ishara ya kumteremkea Allah na kumuabudu kiasi cha yeye ndo Muumba wa vyote..!! Na siyo kingine !!
Sasa msalaba na sanamu hauongezi wala kuounguza kitu.
πππππππAISEE WAMEUKUBALI MSAADA TOKA KWA MAKAFIRI,HAWA MAAMUMA NI WEPESI MNOO
Naam.. Sasa hilo ndo tatizo letu WaIislam... tunajazba full package.. tuna hasira full headed.. tunapenda kutwanga maji ndani ya kinu. !!Acha kupotosha watu dini haipelekwi kwa mitazamo na busara za kila mtu, din ina mafundisho yake epuka kutoa mafunzo usiyo na elimu nayo juu ya din utakua Ni mwenye kubeba dhambi na kuulizwa siku ya mwsho
Vizuri wewe unaifahamu diniNdg wa imani mpendwa... naomba upanue kifuwa ili ubebe dini yako, naomba ujiongeze kichwani ili usome na uboreshe ubongo na tafakuri zako...
Sasa ingia google uandike makanisa mangapi yaliyo nunuliwa na waislam na mangapi yamegeuzwa masjid!!
Kwa maelezo zaidi wakati wa machafuko hapo CAR hapo walipovamiwa na kukimbizwa nchini humo ..Waiislam walipewa hifadh ktk makanisa ya WaKristo.. napo waliweza Kuswali na kufanya ibada bila adha au kero!! Na huko Bosna pia .. na huko Egypt na hata Cordoba-Spain matokeo mbalimbali yameshuhudia !!
Wee mwanangu acha jazba.. Read (soma, iqra'a) utafaidika na kuwa mwenye hikma na busara zaidi.
Allah akuhidi.. Amin
Waislamu ubwabwa huwajui?Fafanua kidogo
Sure mkuu..... Inahitajika mabadiriko makubwa sn maana bakwata hii kila uchaguzi inatumika vibaya sn na ccmWell said.
Bakwata hawapendi wasomi na matokeo yake ndio hayo taasisi imekuwa haina visionary leaders na hata waislam wenyewe hawawaamini hao Bakwata na hasa kwenye suala michango ambapo pesa hizo huliwa tu na hawana accounting system nzuri na ya kisasa kwa ajili ya masuala ya pesa.
Kwa kifupi tu, ni taasisi iliyofeli miserably.
Hata Waarabu wamewashitukia siku hizi kwenye michango na shule zao ni afadhali za asante Kayumba, kazi mibweni kuungua kila siku na kufelisha watoto.
Bakwata inahitaji kuongozwa na wasomi kama zilivyo taasisi nyingine za kidini hapa nchini.
Na ufute semi zake zote za kumsema vibaya Bwana Yesu wetu.Faiza anasemaje kuhusu hili?