Kwakuwa Msikiti wenu mkubwa bado haujakamilika, ningeshangaa sana kama mngekuja na Tamko la Kupinga

Mkuu wewe umedadavua vizuri sana na Allah akusimamie kwenye imani yako, achana na hawa wapiga mboyoyo ambao kila jambo wanaliweka kwenye siasa
BarakaAllahufik (may blessings of Allah covers your way)
FYI... baadhi ya sisi binadamu tuna hulka na tabia za kukosoa kila jambo lenye maendeleo..!!
KM:- waiIslam tungejengewa Hospital au Shule au chuo cha mafunzo ya maarifa, ufundi basi still wangendai na kuleta ubishi pasipo na haki.
Tùwavumilie tu.. japo wanachafua hewa na jina la dini.
Allah Msamehivu kareem
 
Pole kwa maarifa finyu,naomba ulete ushahidi w kwqmba muislamu anaruhusiwa kuswali kanisani
Ndg wa imani mpendwa... naomba upanue kifuwa ili ubebe dini yako, naomba ujiongeze kichwani ili usome na uboreshe ubongo na tafakuri zako...
Sasa ingia google uandike makanisa mangapi yaliyo nunuliwa na waislam na mangapi yamegeuzwa masjid!!

Kwa maelezo zaidi wakati wa machafuko hapo CAR hapo walipovamiwa na kukimbizwa nchini humo ..Waiislam walipewa hifadh ktk makanisa ya WaKristo.. napo waliweza Kuswali na kufanya ibada bila adha au kero!! Na huko Bosna pia .. na huko Egypt na hata Cordoba-Spain matokeo mbalimbali yameshuhudia !!
Wee mwanangu acha jazba.. Read (soma, iqra'a) utafaidika na kuwa mwenye hikma na busara zaidi.
Allah akuhidi.. Amin
 
Hiv unajua kanisan kuna Masanamu na picha? Swala gani itakubaliwa ukiswali mbele ya Masanamu picha na misalaba? Hiii ni uongo na huruhusiwi had uviondoe vyote vinavyoweza kubatilisha swala, zaman makanisa yaligeuzwa kuwa misikiti na kuondolewa picha na sanam ndo watu wakaruhusiwa kufanya ibada
Ahssante.., ulivyocheza kamari uliliwa pesa zako?? Hahaha...
Kuwepo sanamu au msalaba ni ushawishi wako tu.. kwa sbbu unashangashnga na kurusja macho ovyo ovyo unapo swali!!

Allah SWT ametusihi tuwe wanyenyekevu na uzingatio ktk swala na siyo kutazama huku na huku..
Pili:- Katika dunia hii hakuna mwenye haki ya kuikubali ibadaa(swala) au kuihukumu swala ati imekubalika au imebatilika.. NO !!
FYI.., Mwenye mamlaka hiyo ni ALLAH pekee yake tu.
Tatu:- Allah katuambia yeye hahusiki na uso au umbike la mwanaAdamu ispokuwa hutazama Moyo wa mwanadamu na hakika moyo ndiyo huhodhi "Nia" na dhamira ya twa'a ya tendo la haki/kheri au shari !!

Nne:- unapo Sujudu unalazimika kuweka paji la uso wako chini... hiyi ni ishara ya kumteremkea Allah na kumuabudu kiasi cha yeye ndo Muumba wa vyote..!! Na siyo kingine !!
Sasa msalaba na sanamu hauongezi wala kuounguza kitu.
 
Ndg wa imani mpendwa... naomba upanue kifuwa ili ubebe dini yako, naomba ujiongeze kichwani ili usome na uboreshe ubongo na tafakuri zako...
Sasa ingia google uandike makanisa mangapi yaliyo nunuliwa na waislam na mangapi yamegeuzwa masjid!!

Kwa maelezo zaidi wakati wa machafuko hapo CAR hapo walipovamiwa na kukimbizwa nchini humo ..Waiislam walipewa hifadh ktk makanisa ya WaKristo.. napo waliweza Kuswali na kufanya ibada bila adha au kero!! Na huko Bosna pia .. na huko Egypt na hata Cordoba-Spain matokeo mbalimbali yameshuhudia !!
Wee mwanangu acha jazba.. Read (soma, iqra'a) utafaidika na kuwa mwenye hikma na busara zaidi.
Allah akuhidi.. Amin
Ujerumani pia waliwahi kutoa kanisa ligeuzwe msikiti ,sisi waganga njaa ndio tunaoongoza kujadili vitu visivyokuwa na maana ,hivi unaanzaje kuuita mchango ni batiri kisa umetoka kanisani?
 
Ahssante... na mubarikiwe hapa Duniani.. I hope kama patakuwepo na Harambee ingine msitusahau !!
Maana huwa tunachanga swadaqa misikitini kila siku lakini hatuoni MAENDELEO au hata uboreshaji wa kawaida (mifano ipo mingi..ie maCarpets, sehem za udhu, rangi umeme Maintenance nk nk) !!
 
Ahssante.., ulivyocheza kamari uliliwa pesa zako?? Hahaha...
Kuwepo sanamu au msalaba ni ushawishi wako tu.. kwa sbbu unashangashnga na kurusja macho ovyo ovyo unapo swali!!

Allah SWT ametusihi tuwe wanyenyekevu na uzingatio ktk swala na siyo kutazama huku na huku..
Pili:- Katika dunia hii hakuna mwenye haki ya kuikubali ibadaa(swala) au kuihukumu swala ati imekubalika au imebatilika.. NO !!
FYI.., Mwenye mamlaka hiyo ni ALLAH pekee yake tu.
Tatu:- Allah katuambia yeye hahusiki na uso au umbike la mwanaAdamu ispokuwa hutazama Moyo wa mwanadamu na hakika moyo ndiyo huhodhi "Nia" na dhamira ya twa'a ya tendo la haki/kheri au shari !!

Nne:- unapo Sujudu unalazimika kuweka paji la uso wako chini... hiyi ni ishara ya kumteremkea Allah na kumuabudu kiasi cha yeye ndo Muumba wa vyote..!! Na siyo kingine !!
Sasa msalaba na sanamu hauongezi wala kuounguza kitu.
Acha kupotosha watu dini haipelekwi kwa mitazamo na busara za kila mtu, din ina mafundisho yake epuka kutoa mafunzo usiyo na elimu nayo juu ya din utakua Ni mwenye kubeba dhambi na kuulizwa siku ya mwsho
 
Naam.. Sasa hilo ndo tatizo letu WaIislam... tunajazba full package.. tuna hasira full headed.. tunapenda kutwanga maji ndani ya kinu. !!
Kwanini tusisumie blenda mbadala!!
Hatupendi kuwa na maLENGO !!
Tunaswali tunaomba Dua'a nyingi... Lakini hatujiulizi kwanini hatujibiwi na wapi tunakosea..???
Naomba tusafishe mioyo na nia ili tupate SUBRA, TAQWA; RIDHAA; TUMA'ANEENA na IKHLASS ktk amali zetu.
Dini yetu ni nyepesi na siyo ugumu au kuweka Mafundomafundo ya kukwamisha...
Allahu alMusta'an
 
V
Ndg wa imani mpendwa... naomba upanue kifuwa ili ubebe dini yako, naomba ujiongeze kichwani ili usome na uboreshe ubongo na tafakuri zako...
Sasa ingia google uandike makanisa mangapi yaliyo nunuliwa na waislam na mangapi yamegeuzwa masjid!!

Kwa maelezo zaidi wakati wa machafuko hapo CAR hapo walipovamiwa na kukimbizwa nchini humo ..Waiislam walipewa hifadh ktk makanisa ya WaKristo.. napo waliweza Kuswali na kufanya ibada bila adha au kero!! Na huko Bosna pia .. na huko Egypt na hata Cordoba-Spain matokeo mbalimbali yameshuhudia !!
Wee mwanangu acha jazba.. Read (soma, iqra'a) utafaidika na kuwa mwenye hikma na busara zaidi.
Allah akuhidi.. Amin
Vizuri wewe unaifahamu dini
 
Well said.
Bakwata hawapendi wasomi na matokeo yake ndio hayo taasisi imekuwa haina visionary leaders na hata waislam wenyewe hawawaamini hao Bakwata na hasa kwenye suala michango ambapo pesa hizo huliwa tu na hawana accounting system nzuri na ya kisasa kwa ajili ya masuala ya pesa.
Kwa kifupi tu, ni taasisi iliyofeli miserably.
Hata Waarabu wamewashitukia siku hizi kwenye michango na shule zao ni afadhali za asante Kayumba, kazi mibweni kuungua kila siku na kufelisha watoto.
Bakwata inahitaji kuongozwa na wasomi kama zilivyo taasisi nyingine za kidini hapa nchini.
Sure mkuu..... Inahitajika mabadiriko makubwa sn maana bakwata hii kila uchaguzi inatumika vibaya sn na ccm
 
Back
Top Bottom