Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

Genta hajawahi kuwa upande wa ma looser hata siku moja..😅
 
Kwani Onana akiondoka ndo Simba itaifunga Yanga hiyo tarehe 8?
 
Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
Nyie jiandaeni tu kisaikolojia, kitimu Cha daraja la pili kimeshawawasha chuma Cha kwanza uko mnacheza mmejificha Kama vile mnauza bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…