Kwamba CASK BAR haikulipia leseni kwa miaka miwili ni uongo. Ushahidi huu hapa

Matarajio ya mama sio ya serikali🤔
 


Huku ni kuisaidia au kuizalilisha serikali?
 
Chadema mmechanganyikiwa mpaka migogoro ya wauza pombe mnataka kuitolea ufafanuzi. Chama kinakufa vibaya hiki mmh..
 
Da... tumefika hapa? Kweli Tanzania inateketea. Sasa wanataka kila kitu wananchi waitikie ndiyo mama? Hawataki mtu akiona kosa limefanyika aseme?
 
Issue hii imedharirisha mno serikali! how machinery ziruhusu cheap and poor handling ya issue hii kiwango hiki. Kiufupi hawa wahuni wanamchafua mama aonekane hatendi anayohubiri.

Hii ni sawa na kujifuta tope kwa taulo iliyolowekwa kwenye kinyesi! Purely akili ndogo sana. Hivi hawa wataweza ku handle madogo kizazi kinachokuja? Generation ya Nyerere ndio inatoweka! Wanakuja kizazi ambacho hakijui mwenge ni nini, CCM katokea wapi n.k

CCM wamekwepa anguko kama la KANU lakini wanatengeneza wenyewe anguko lao!
 
Mbona hii haihusiani na kodi ya TRA, leseni ni ya TRA siku hizi?
 
Inasemekana wanamhujumu makusudi ili 2025 wampige chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…