Kwamba CASK BAR haikulipia leseni kwa miaka miwili ni uongo. Ushahidi huu hapa

Mkurugenzi nadhani atatumbuliwa pamoja na mkuu wa mkoa Makalla. Wameonesha very low thinking ambapo ni kinyume kabisa na matarajio ya rais wetu Dkt Samia. Sijui kwa nini hawamuelewi. Wanamhujumu Mama, watenguliwe haraka. Serikali inahitaji mapato ya services levy etc leo hii unaamka tu kufungia mtu sehemu ambayo anachangia wengine kupata maisha.
Matarajio ya mama sio ya serikali🤔
 
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya

View attachment 2720130

Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .

Watanganyika siyo wajinga sana .

Huku ni kuisaidia au kuizalilisha serikali?
 
Chadema mmechanganyikiwa mpaka migogoro ya wauza pombe mnataka kuitolea ufafanuzi. Chama kinakufa vibaya hiki mmh..
 
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya

View attachment 2720130

Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .

Watanganyika siyo wajinga sana .
Da... tumefika hapa? Kweli Tanzania inateketea. Sasa wanataka kila kitu wananchi waitikie ndiyo mama? Hawataki mtu akiona kosa limefanyika aseme?
 
Issue hii imedharirisha mno serikali! how machinery ziruhusu cheap and poor handling ya issue hii kiwango hiki. Kiufupi hawa wahuni wanamchafua mama aonekane hatendi anayohubiri.

Hii ni sawa na kujifuta tope kwa taulo iliyolowekwa kwenye kinyesi! Purely akili ndogo sana. Hivi hawa wataweza ku handle madogo kizazi kinachokuja? Generation ya Nyerere ndio inatoweka! Wanakuja kizazi ambacho hakijui mwenge ni nini, CCM katokea wapi n.k

CCM wamekwepa anguko kama la KANU lakini wanatengeneza wenyewe anguko lao!
 
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya

View attachment 2720130

Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .

Watanganyika siyo wajinga sana .
Mbona hii haihusiani na kodi ya TRA, leseni ni ya TRA siku hizi?
 
Issue hii imedharirisha mno serikali! how machinery ziruhusu cheap and poor handling ya issue hii kiwango hiki. Kiufupi hawa wahuni wanamchafua mama aonekane hatendi anayohubiri.

Hii ni sawa na kujifuta tope kwa taulo iliyolowekwa kwenye kinyesi! Purely akili ndogo sana. Hivi hawa wataweza ku handle madogo kizazi kinachokuja? Generation ya Nyerere ndio inatoweka! Wanakuja kizazi ambacho hakijui mwenge ni nini, CCM katokea wapi n.k

CCM wamekwepa anguko kama la KANU lakini wanatengeneza wenyewe anguko lao!
Inasemekana wanamhujumu makusudi ili 2025 wampige chini
 
Mbona hii haihusiani na kodi ya TRA, leseni ni ya TRA siku hizi?
Screenshot_2023-08-17-13-56-41-1.jpg
 
Back
Top Bottom