Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matarajio ya mama sio ya serikali🤔Mkurugenzi nadhani atatumbuliwa pamoja na mkuu wa mkoa Makalla. Wameonesha very low thinking ambapo ni kinyume kabisa na matarajio ya rais wetu Dkt Samia. Sijui kwa nini hawamuelewi. Wanamhujumu Mama, watenguliwe haraka. Serikali inahitaji mapato ya services levy etc leo hii unaamka tu kufungia mtu sehemu ambayo anachangia wengine kupata maisha.
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya
View attachment 2720130
Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .
Watanganyika siyo wajinga sana .
Da... tumefika hapa? Kweli Tanzania inateketea. Sasa wanataka kila kitu wananchi waitikie ndiyo mama? Hawataki mtu akiona kosa limefanyika aseme?Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya
View attachment 2720130
Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .
Watanganyika siyo wajinga sana .
Mbona hii haihusiani na kodi ya TRA, leseni ni ya TRA siku hizi?Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya
View attachment 2720130
Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .
Watanganyika siyo wajinga sana .
Inasemekana wanamhujumu makusudi ili 2025 wampige chiniIssue hii imedharirisha mno serikali! how machinery ziruhusu cheap and poor handling ya issue hii kiwango hiki. Kiufupi hawa wahuni wanamchafua mama aonekane hatendi anayohubiri.
Hii ni sawa na kujifuta tope kwa taulo iliyolowekwa kwenye kinyesi! Purely akili ndogo sana. Hivi hawa wataweza ku handle madogo kizazi kinachokuja? Generation ya Nyerere ndio inatoweka! Wanakuja kizazi ambacho hakijui mwenge ni nini, CCM katokea wapi n.k
CCM wamekwepa anguko kama la KANU lakini wanatengeneza wenyewe anguko lao!
Mbona hii haihusiani na kodi ya TRA, leseni ni ya TRA siku hizi?
Hiyo leseni mmetuwekea kama ushahidi wa nini? Mngeweka satifiketi ya kodi kwani ndiyo inayothibitisha kama unadaiwa au haudaiwi.
Jamaa wanadandia hata vioja. Hawana hoja kabisa.Chadema mmechanganyikiwa mpaka migogoro ya wauza pombe mnataka kuitolea ufafanuzi. Chama kinakufa vibaya hiki mmh..
IGP nimemshangaa kwakweliHapana kabisa hiyo ni nidhamu ya uoga na kinafiki ya Makalla na Kibamba. Huwezi fanya kitu cha ajabu namna ile cha kumchonganisha rais na wapiga kura wake. Ni sawa na issue ya IGP tu
lengo ni kuumbua waongoJamaa wanadandia hata vioja. Hawana hoja kabisa.