Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

Ni nani huyo na kwa ushahidi upi ulio nje kabisa ya hisia za wivu, majungu, fitina, umbea na uzandiki?!!!
 
Inchi inaendeshwa na Rostam Azizi ndiye mwenye amri ya mwisho
Wakati mababu zake wanatoka Mashariki ya mbali huko Hadi igunga kumuandaa mjukuu wao kuwa dereva nyie mababu zenu walikuwa wapi?!!! Porini kuwinda nguruwe pori na kudaka panzi, sio?!!! Acheni wivu kwa kuzidiwa maarifa......... nyambaaafu, huo ni ushamba.
 
Back
Top Bottom