Endelea kuusubiri ushahidi unao utaka hapo hapoNi nani huyo na kwa ushahidi upi ulio nje kabisa ya hisia za wivu, majungu, fitina, umbea na uzandiki?!!!
Inchi inaendeshwa na Rostam Azizi ndiye mwenye amri ya mwishoNi nani huyo na kwa ushahidi upi ulio nje kabisa ya hisia za wivu, majungu, fitina, umbea na uzandiki?!!!
HalFu wazee wenyew wawe wavaa msuli ndani bukta la yanga utapendaaKumbukeni kijiji Bila wazeee ni genge la wahuni!
Wakati mababu zake wanatoka Mashariki ya mbali huko Hadi igunga kumuandaa mjukuu wao kuwa dereva nyie mababu zenu walikuwa wapi?!!! Porini kuwinda nguruwe pori na kudaka panzi, sio?!!! Acheni wivu kwa kuzidiwa maarifa......... nyambaaafu, huo ni ushamba.Inchi inaendeshwa na Rostam Azizi ndiye mwenye amri ya mwisho