Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?

Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔

Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
 
Haya hima hima madaktari wa mifugo mmekumbushwa mkabebe ma-syringe ya kuchoma ngʼombe mbwa na mbuzi mkauze mpate angalao hela ya kunywa bia mbili tatu.

Msikae kizembe mkaja kusema hamkuambiwa!
 
Kupata ni majaliwa.
 

Kusomea kutibu wanyama ilitakiwa uwe na moyo wa chuma aisee....lakini enzi zile guidance haikuwepo. Watu waliingia chaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…