Kila tasnia Kuna watakayofaidika nayo na wengi watakuwa wasindikizaji, sio ujanja wala ujinga ndio balance ya Dunia ipo hivyo.
Duuh!! Yamekuwa haya!!Haya hima hima madaktari wa mifugo mmekumbushwa mkabebe ma-syringe ya kuchoma ngʼombe mbwa na mbuzi mkauze mpate angalao hela ya kunywa bia mbili tatu.
Msije mkasema hamkuambiwa!
Kupata ni majaliwa.Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?
Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔
Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?
Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔
Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
Waliingia chaka kwa.namna ipi? Kutoboa kwenye maisha ni matokeo ya mambo mengi.Kusomea kutibu wanyama ilitakiwa uwe na moyo wa chuma aisee....lakini enzi zile guidance haikuwepo. Watu waliingia chaka
Wanaelewa basi?? M.D tu ndio chaguo pao pekee. Wakikosa ni BSc. EducationDaktari wa mifugo anapiga hela sana
Kama una mwanao hakikisha unamtengenezea njia za kwa doc wa mifugo.