Kwamba vyombo vyetu vyote vya habari vimeshindwa kufuatilia Ili kufanya mahojiona na Makamu mstaafu Hadi mkuu Pascal Mayalla

Kwamba vyombo vyetu vyote vya habari vimeshindwa kufuatilia Ili kufanya mahojiona na Makamu mstaafu Hadi mkuu Pascal Mayalla

Punguza hasira haikupunguzii umaskini wako wakujitakia na chama chako
Nimekushauri. Kama uwezo, poa na usilazimishe wengine.

Kwamba mimi ni maskini, nakuonea huruma. Jana nimemjibu mwenzako hapa kwamba nina mtoto mwaka huu kamaliza mwaka wa nne Ardhi University na hana mkopo. Mdogo wake anaenda kuanza mwaka wa kwanza mwaka huu DMI na hajaomba mkopo kwasababu "BABA" nipo.
Na Sasa hivi nakunywa Konyagi hapa Diamond Kona ya Bwiru karibu na The Rock City Mall kama ninavyofanya siku zote jioni baada ya kazi au weekend. Na ukumbuke nakaa Nyegezi, Majengo Mapya jirani na Heche! Ahahahahaha!!

Na kama mimi ni maskini, basi wewe ni MO! Ahahahahaha!!
 
Tajiri letu la Mwanza HilošŸ˜€šŸ˜€mkuu hakujui huyo msamehe sana
 
Tajiri letu la Mwanza HilošŸ˜€šŸ˜€mkuu hakujui huyo msamehe sana
Mimi sio tajiri bali naijali familia yangu kinachobaki nakunywa Konyagi. Na pia napendaGA kuwaambia hao wajinga wajinga ambao wanafikiri kila mtu anayeenda tofauti na mawazo yao ni maskini halafu wao ni "matajiri" wakati mwingine unakuta ni watoto wetu tu walionunua simu kwa hela ya boom! Ahahahahaha!!
 
Bollen Ngetti alisema alikwenda kumtembelea Nchimbi.
Anasema anavyofahamu yeye mtu yeyote anaweza kwenda kumsalimu.

Navyofahamu mimi ni kwamba kama walinzi wakizuia watu wasimsalimie Nchimbi,ina maana wao walinzi wameamua kwamba wao ni handsome sana na Nchimbi hahitaji kumuona mtu mwingine yoyote .
 
Mkuu Gift mzalendo , kwanza asante kuniomba kusaidia mahojiano na Dr. Nchimbi, kwavile mimi ni mwandishi mwenye upako fulani, nilipomuwaza Nchimbi yuko wapi, nikaambiwa

Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"​

Naomba uniamini.
P
Nashukuru mkuu nakuheshimu sana kwenye Eneo la Uandishi tangu ulipomuuliza Jpm lile swali gumu akaweweseka vibaya mno.

Ndo mwanzo wa kunyooshwa tangu aliposema watch out

Najua huo ndo WITO wako huko kwenye siasa unalazimisha TU .

Naamini kwenye habari za kiuchunguzi tunaweza kuondoa sintofahamu hii
 
Back
Top Bottom