Kwamsisi

mimi naamini avumae baharini papa lakini wapo wengi kuna vijiji tz hii ukiipereka gari utapakia abiria nyomi katikati ya safari unastukia ndani yagari hakuna hata abiria mmoja na hujacmama kushusha abiria.
sehem nyingine barabarani utakuta kofia na koti vimewekwa dereva ole wako uccmame
 
Natamani ningepata time niende nikazingue hapo then nichimbe yan amna kitu siogopi kama uchawi labda siku nirogwe ndio ntaamini an they can't mess with me..

Kwamsisi kwamsisi Kama wanauwezo siwangeendelea ngedere wakubwa [emoji95]
Kaka si mbali ukipata muda Fanya tu utalii wa ndani, Ukifika Fanya jambo lolote la kuudhi hadharani au unaweza Hata tamka hayo Maneno yako hapo juu kwa nguvu kila MTU akusikie...kisha subir results...
 
mimi naamini avumae baharini papa lakini wapo wengi kuna vijiji tz hii ukiipereka gari utapakia abiria nyomi katikati ya safari unastukia ndani yagari hakuna hata abiria mmoja na hujacmama kushusha abiria.
Kijiji gani mkuu tufanye uchunguzi
 
Na cha kushangaza hayo maeneo mgeni ukiingia mafundi wote wanajua kinachokuleta, ukipita road wanakutumbulia macho tu....wanajua A to Z kilichokupeleka huko...sasa rudi kipuuzipuuzi utajuta... sitaniii..
 
Huko Handeni Tanga kuna hii kampuni ya magari ya Simba Mtoto hii kampuni ya bhana hamna hata kijana tena madereva karibia wote wazee kijana ukienda kuomba ajira huchukui mwaka washa kulamba
 
Natamani ningepata time niende nikazingue hapo then nichimbe yan amna kitu siogopi kama uchawi labda siku nirogwe ndio ntaamini an they can't mess with me..

Kwamsisi kwamsisi Kama wanauwezo siwangeendelea ngedere wakubwa [emoji95]
Ooooosh, shingakiozoshingandima, ngukunguku keianga mwesoghoo, ikiangamwesoghoo neihaatiwe mghongo idwike sudi, naamba nkiozo ani cha nguku ichi, nhiiiihaaa
 
Mmmmmmmmh jamani hivi ni ya kweli hayo???? Maana hata huko Bagamoyo huwa tunapata stori kuwa ni hatari na hasa mlingotini....Aidha vipi ya huko Sumbawanga?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…