Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Pipa lilipasuka tumebaki na mfunikoHivi hotuba za Bwana yuuuule tunaweza kuzitumia kama rejea.
Hata u China ni Nchi ya kijamaa na ambayo ndilo Taifa la pili baada ya USA kiuchumi Duniani.Kwa nini mzee aliyejaa hekima na busara alikomalia sera za ujamaa na zilizoharibu uchumi na kuacha nchi masikini?
Sera za kijamaa za China zilikufa na Mao Zedong. Walifungua uchumi wao wawekezaji wakamwagika kule. Nyerere alizing'ang'ania sera za ujamaa mpaka mwisho.Hata u China ni Nchi ya kijamaa na ambayo ndilo Taifa la pili baada ya USA kiuchumi Duniani.
Jiulize Ujamaa ni nini alafu rejea China ni percent ngapi ya rasilimali ni state ownedSera za kijamaa za China zilikufa na Mao Zedong. Walifungua uchumi wao wawekezaji wakamwagika kule. Nyerere alizing'ang'ania sera za ujamaa mpaka mwisho.
Nchi Masikini yenye watu wa kipato cha kati au nchi tajiri yenye asilimia 0.00001% matajiri wa kufa mtu na wengine mafukara wa kutupwa hata wakifa wanashindwa kukomboa maiti zao wakizeeka hakuna cha pension wala sehemu ya kujibanza (take your pick)Kwa nini mzee aliyejaa hekima na busara alikomalia sera za ujamaa na zilizoharibu uchumi na kuacha nchi masikini?
Aa!!..wapi, hotuba za kuongelea Wanawake weupe na kupiga Mashangazi wa Kimakonde.Hivi hotuba za Bwana yuuuule tunaweza kuzitumia kama rejea.
Ujamaa wa Nyerere aliuandika mwenyewe katika kitabu chake cha UJAMAA - Essays on Socialism. China hawana kitu hicho sasa hivi. Walikuwa nacho wakati ule wa Cultural revolution ya Mao Zedong na alivyokufa wakautupa. Ndiyo baadaye viwanda vingi vya Ulaya na Marekani vikaenda kuwekeza kule China na kupaisha uchumi wao.Jiulize Ujamaa ni nini alafu rejea China ni percent ngapi ya rasilimali ni state owned
Ngoja kwanza niulize una umri gani? Maana kama ulizaliwa miaka ya 90's na kuendelea, hujui maisha waliyokuwa wanaishi Watanzania enzi za Nyerere. Ndiyo maana naona unataka kulanganisha umasikini wa Marekani na Ulaya na tuliokuwa nao wakati wa Nyerere. Haufanani.Nchi Masikini yenye watu wa kipato cha kati au nchi tajiri yenye asilimia 0000.01% matajiri wa kufa mtu na wengine mafukara wa kutupwa hata wakifa wanashindwa kukomboa maiti zao wakizeeka hakuna cha pension wala sehemu ya kujibanza (take your pick)
Moja pure ubepari upo kwenye makaratasi tu hakuna nchi 100% capitalist Hata huko Marekani na UK huenda kuna welfare kushinda hata sisi huku tunaojiona wajamaa...,
Kwahio bora wenzetu wenye safety net ya wasionacho ambao wanazidi kuongezeka siku baada ya siku kuliko sis bora liende kila mtu kivyake (that state of things is bound to bring havoc na mwisho wa siku ni machafuko na chuki katika jamii)
Vitu vinabadilika kutokona na wakati ila in essence hata the waamini wakubwa wa Socialism ni kwamba Commanding Heights za Economy zinakuwa State owned kwahio kilichopo China ni Socialist Market Economy ingawa private sectors zina-exist in parallel bado State inamiliki vitu vingi...Ujamaa wa Nyerere aliuandika mwenyewe katika kitabu chake cha UJAMAA - Essays on Socialism. China hawana kitu hicho sasa hivi. Walikuwa nacho wakati ule wa Cultural revolution ya Mao Zedong na alivyokufa wakautupa. Ndiyo baadaye viwanda vingi vya Ulaya na Marekani vikaenda kuwekeza kule China na kupaisha uchumi wao.
Hakuna ujamaa chinaHata u China ni Nchi ya kijamaa na ambayo ndilo Taifa la pili baada ya USA kiuchumi Duniani.
Akizungimzia udini huwa nasikilizaa nasema inhiiHakika amenena vyema...
Rushwa, Udini, Ukabila ni mambo ya hatari sana...
Shida aliamini kwenye ujamaa Kama diniSera za kijamaa za China zilikufa na Mao Zedong. Walifungua uchumi wao wawekezaji wakamwagika kule. Nyerere alizing'ang'ania sera za ujamaa mpaka mwisho.
Wewe unaanza kuleta ngonjera hapa..., shida zilizopatikana kipindi hicho zilitokea sababu ya nini ?, Kumbuka Nchi imechukuliwa bado changa, Huku vita baridi ya Marekani na Urusi Mabeberu ukicheza wanakuondoa (ulizia kina Patrice Lumumba, Sankara et al), mabaa ya njaa na ukame, vita na Uganda (na hapo pote hayo yalifanyaki bila kuchimba na kumaliza rasilimali zetu ambazo sasa hivi tunazichimba )Ngoja kwanza niulize una umri gani? Maana kama ulizaliwa miaka ya 90's na kuendelea, hujui maisha waliyokuwa wanaishi Watanzania enzi za Nyerere. Ndiyo maana naona unataka kulanganisha umasikini wa Marekani na Ulaya na tuliokuwa nao wakati wa Nyerere. Haufanani.
We fisi kweli Bado unapambana na Magufuli tu inaonekana aliwashika pabayaHivi hotuba za Bwana yuuuule tunaweza kuzitumia kama rejea.