Kwangu mimi hiyo ndiyo hotuba ya maana kuliko zote zilizopata kuhutubiwa na Hayati mzee Nyerere

Kwangu mimi hiyo ndiyo hotuba ya maana kuliko zote zilizopata kuhutubiwa na Hayati mzee Nyerere

Hakuna mtu mmoja anaweza kukukomboa wewe au nyie bali ni watu wote kwa kuunganisha nguvu zao with common goals ndio wanaweza kutoka point A mpaka B..., Kutuunganisha tu na kutoa misingi ya Ukabila na sasa tunaongea kama taifa moja ni msingi tosha ambaye yoyote leo au kesho anaweza kuendelea kujenga (taifa la wamoja ni rahisi kwenda mbele kuliko a disintergrated nation)

Naam na ndio maana Afrika ni bara la giza pamoja na resources zote hizo (ubinafsi umimi, uchoyo na kuona adui yako ni binadamu mwenzako kumbe ni mazingira ambayo wote tukifanya kazi kwa kushirikiana tutaweza kuyakabili..., na hio mentality ikitoka kwenye umimi wa kidunia na mabara unakuwa kwenye umimi wa nchi na ndani ya nchi umimi wa vyama na makabila mwisho wa siku hakuna kinachoendelea (hakuna solidarity)

We either survive as a unit or perish as individuals.....Siku tukipevuka kiakili ndio tutagundua hilo; na sio Afrika tu bali Dunia nzima inabidi tuishi as a unit kwa kutegemeana
Ni kweli Nyerere na ujamaa wake alishindwa kutukomboa kwenye umaskini. Usiongelee wengine lakini hujui kama wangeweza au wangeshindwa kama Nyerere na ujamaa wake alivyoshindwa.
 
Back
Top Bottom