Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Asubuhi ya leo hapa Ubungo (maeneo ya jirani kabisa na wanapojenga Ubungo Interchange) lilipita tangazo ambalo sikulisikia vizuri ila kitu nachokumbuka katika tangazo lile ni Wananchi wa eno hili kuhusishwa na shughuli ya kumpongeza mheshimiwa kuchukua form ya kugombea.
Nilitafakari na kujiuliza nini hasa logic ya jambo hili kwa hakika sikupata jibu (kumpongeza mtu kwa kuhukua form ya kugombea) kiasi cha Wananchi kutangaziwa kuhusu shughuli hiyo ya kumpongeza.
Muda huu baada ya mimi kutoka darasani (niko masomoni tangu mwezi Oktoba mwaka jana katika chuo kimoja hapa Dar) na kupata nafasi ya kuingia hapa mtandaoni, nimekutana na thread inayomuhusu huyu Mgombea na yaliyoendelea hivyo nimepata jibu lile tangazo la leo asubuhi lilikuwa linahusu nini hasa.
Binafsi nilichogundua mambo haya hupangwa na moja ya lengo ni kupata hadhara ya watu na si kwamba huwa yanatokea pasipo maandalizi ya aina yoyote.
Kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi upite,tutapanda nao mpaka daladala kama sio kuchimba nao mitaro ya kupitisha mabombo ya maji mitaani, n.k.