Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,946
- 13,928
Nahene lulu.Wabheejaa saanaa ng'wijukulu ng'wanee.
Nahene lulu.Wabheejaa saanaa ng'wijukulu ng'wanee.
Nahene lulu.
Kwa ushahidi wa mazingira zile pesa ni za mzee mwenyewe ndio maana hatujaona TAKUKURU wakimchunguzaMkuu samahani naomba kuuliza, hivi zile fedha ni za kutokea kwenye mshahara wake au ni kutoka fuko kuu la kuhifadhia jasho la watanzania?
Kwa ushahidi wa mazingira zile pesa ni za mzee mwenyewe ndio maana hatujaona TAKUKURU wakimchunguza
Masomo in ndani na nje ya darasa. Yakiwa darasanni tu ni kukariri.Dar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?
Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?