Kwangu mimi huu ni ushahidi kuwa matukio haya hupangwa

Jamaa wameishiwa mbinu kabisa za kuwahadaa watanzania maana sekondari za kata zimetutoa giza usoni
Na hata yule Mama nae alipangwa,na pia ukicheki jina la yule Mama lina asili ya kule kule Kanda pendwa.
 
Mkuu samahani naomba kuuliza, hivi zile fedha ni za kutokea kwenye mshahara wake au ni kutoka fuko kuu la kuhifadhia jasho la watanzania?
Ila huu utaratibu wa mzee wetu kuwagawia watu pesa unakubalika sana na watz wengi ndio maana utatumika sana wakati huu wa kampeni

Watanzania wengi wanathamini mtu anayewapa pesa na sio maneno kwahiyo pesa zitagawiwa sana mbele ya macamera
 
Huyo mleta mada anajiongezea maarifa siyo kama wewe uliyeamua kuziweka akili zako rehani kwa chakubanga
Dar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?

Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
 
Yule mama alipangwa bila ubishi, tatizo lenu nyinyi akili zenu zimehamishwa na upepo wa kisulisuli
Nyie tulishawazoea kila Mara mheshimiwa Rais anapoonesha kitu chema mbele ya jamii mnasema imepangwa kwa hiyo hata yule mama mlemavu utasema alipangwa pia

Acheni hayo mambo wakuu
 
Kuna wenye uwezo wa kushindana naye na siyo muda mrefu watamuweza kama walivyo waweza kina Uhuru na Ruto
Maigizo mengi sana nchi hii, hata hivyo aliyeshika mpini huwezi kushindana nae hata siku moja.
 
Asubuhi ya leo hapa Ubungo (maeneo ya jirani kabisa na wanapojenga Ubungo Interchange) lilipita tangazo ambalo sikulisikia vizuri ila kitu nachokumbuka katika tangazo lile ni Wananchi wa eno hili kuhusishwa na shughuli ya kumpongeza mheshimiwa kuchukua form ya kugombea.

Nilitafakari na kujiuliza nini hasa logic ya jambo hili kwa hakika sikupata jibu (kumpongeza mtu kwa kuhukua form ya kugombea) kiasi cha Wananchi kutangaziwa kuhusu shughuli hiyo ya kumpongeza.

Muda huu baada ya mimi kutoka darasani (niko masomoni tangu mwezi Oktoba mwaka jana katika chuo kimoja hapa Dar) na kupata nafasi ya kuingia hapa mtandaoni, nimekutana na thread inayomuhusu huyu Mgombea na yaliyoendelea hivyo nimepata jibu lile tangazo la leo asubuhi lilikuwa linahusu nini hasa.

Binafsi nilichogundua mambo haya hupangwa na moja ya lengo ni kupata hadhara ya watu na si kwamba huwa yanatokea pasipo maandalizi ya aina yoyote.

Kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi upite,tutapanda nao mpaka daladala kama sio kuchimba nao mitaro ya kupitisha mabombo ya maji mitaani, n.k.
Nyie kumbe Hua hampangi mnakurupuka tu
 
Wamepewa maagizo kabisa kwenda kuunga mkono ili kutuhadaa
Mkuu hata kama tangazo limetangazwa ila hajalazimishwa mtu kwenda hivo kama watu hawampendi Rais wasingeenda, hivo kwa vile anakubalika basi ndo maana watu wengi wamejitokeza na wakaacha shughuli zao. Kuna watu ukimpinga unaonekana mchawi tu. Magufuli ni mmoja wao
 
Dar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?

Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
Gharama zipi? Unadhani kila mtu anasomeshwa na bodi ya mikopo au unafikiri kila mtu anasoma vyuo vya umma, nyie ndio Askofu anawasema ujinga umewajaa.
 
Dar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?

Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
Very low IQ ndio maana uko team hii

Serikali kuwapatia huduma za jamii wananchi wake ni jukumu la kikatiba contrary ni jukumu la raia kulipa Kodi na ushuru
 
Asubuhi ya leo hapa Ubungo (maeneo ya jirani kabisa na wanapojenga Ubungo Interchange) lilipita tangazo ambalo sikulisikia vizuri ila kitu nachokumbuka katika tangazo lile ni Wananchi wa eno hili kuhusishwa na shughuli ya kumpongeza mheshimiwa kuchukua form ya kugombea.

Nilitafakari na kujiuliza nini hasa logic ya jambo hili kwa hakika sikupata jibu (kumpongeza mtu kwa kuhukua form ya kugombea) kiasi cha Wananchi kutangaziwa kuhusu shughuli hiyo ya kumpongeza.

Muda huu baada ya mimi kutoka darasani (niko masomoni tangu mwezi Oktoba mwaka jana katika chuo kimoja hapa Dar) na kupata nafasi ya kuingia hapa mtandaoni, nimekutana na thread inayomuhusu huyu Mgombea na yaliyoendelea hivyo nimepata jibu lile tangazo la leo asubuhi lilikuwa linahusu nini hasa.

Binafsi nilichogundua mambo haya hupangwa na moja ya lengo ni kupata hadhara ya watu na si kwamba huwa yanatokea pasipo maandalizi ya aina yoyote.

Kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi upite,tutapanda nao mpaka daladala kama sio kuchimba nao mitaro ya kupitisha mabombo ya maji mitaani, n.k.
Unasoma chuo lakini hujui kwamba ili ushinde vita yoyote ni lazima uwe na mbinu bora zaidi ya mpinzani wako!!

VITA NI MBINU MKUU
 
Dar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?

Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
Anajua sana.

Asichojua ni kiherehere cha wasaka Tonge wanavyojipendekeza kwa jiwe.

Wanaweza kumharibia masomo yake kwa kujikomboa kwa jiwe
 
Back
Top Bottom