Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mkuu hongera kwa kuongeza elimu
Shukrani kamanda.mkuu hongera kwa kuongeza elimu
Low thinking! Kusoma umekariri lazima uwe darasani?!Dar umeenda kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani.
Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?.
Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
Yeye ndiye anaonekana "mchawi" kwa kuzuia wanaompinga; wewe hilo hulioni au umekariri tu misemo!Mkuu hata kama tangazo limetangazwa ila hajalazimishwa mtu kwenda hivo kama watu hawampendi rais wasingeenda, hivo kwa vile anakubalika basi ndo maana watu wengi wamejitokeza na wakaacha shughuli zao. Kuna watu ukimpinga unaonekana mchawi tu. Magufuli ni mmoja wao
Mawazo mufilisi!Na hata yule Mama nae alipangwa,na pia ukicheki jina la yule Mama lina asili ya kule kule Kanda pendwa.
Punguza ujuha we mchunga ng'ombe wa burigiDar umeenda kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani.
Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?.
Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
Kuna watu wana kazi sana[emoji2] kuunda hoja kwenye kila jambo aisee kazi kubwa
Sasa sababu wataikosaje wakati na aliye tenda alikua na sababu iliyo msukuma?Tangu lini mkakosa sababu?
Wanachuo wa siku hizi aisee...Mwanafunzi ngazi ya chuo kila muda anaandika utopolo tu!
Ile ilikuwa ni movie ya kiwango duni kuliko hata movie za kibongo.Magufuli anafeli sana na wanaomwamini wanafeli. Yani yule mlemavu kaletwa na maccm tena kwa maagizo yake mwenyewe.