Kwangu mimi huu ni ushahidi kuwa matukio haya hupangwa

Mkuu samahani naomba kuuliza, hivi zile fedha ni za kutokea kwenye mshahara wake au ni kutoka fuko kuu la kuhifadhia jasho la watanzania?
Kwa ushahidi wa mazingira zile pesa ni za mzee mwenyewe ndio maana hatujaona TAKUKURU wakimchunguza
 
Masomo in ndani na nje ya darasa. Yakiwa darasanni tu ni kukariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…