Kwangu mimi huyu ndio mzamiaji mwenye roho ngumu kinoma, wengine wanangoja

Huyo mwamba daaah🙌🙌 yaaN hata ungekutaNa nae ingeKua bomba sana hakika yy ni shujaa kudadeki ana uthubutu
Yani natamani nikutane nae hata leo ili nimuulize kuwa baada ya kuachana nae pale Maputo aliingiaje ingiaje Kaburu. Nina imani alitumia njia nyingine isiyokuwa ya kawaida kuingia humu.
 
Mabaharia wenyewe ndo hawa, ningekuwa msafiri wa bus hilo siku hio ningewalipia nauli hao madogo waje mjini wajaribu nao bahati yao,wasingeshushwa ningewalipia wakae ndani kwenye siti.
Hapa wakichomolewa kwenye chassis,japo ni hatari ikipiga kwenye bumps wakikaa vibaya wanasagika
 
Mkuu, mtu anaetoka mkoani kuja Dar anajificha juu ya kontena ili kumkwepa nani?
Anakos anauli maisha ya mkoa anaona hayaendi na ashasikia habari za mjini anamua jiripua kwa style hiyo

Maana Kijana anakaa kijijini na ana ndoto za mjini na hana tarifa zaidi atafikaje mjini hana ndugu hana nauli nk. kama leo wengi wanazamia kwa kwa kukosa tarifa sahihi wapi kwa kupata documents nk connection mtu hana kabisa anamua jiripua mfano kupata VISA baadhi ya nchi bado tatizo
 
Mabaharia wenyewe ndo hawa, ningekuwa msafiri wa bus hilo siku hio ningewalipia nauli hao madogo waje mjini wajaribu nao bahati yao,wasingeshushwa ningewalipia wakae ndani kwenye siti.
Hapa wakichomolewa kwenye chassis,japo ni hatari ikipiga kwenye bumps wakikaa vibaya wanasagika

Duh aisee hawa mbona wanaonekana watoto wadogo sana. Kutokana na umri wao hii si ni hatari kwao?!
 
Anakos anauli maisha ya mkoa anaona hayaendi na ashasikia habari za mjini anamua jiripua kwa style hiyo

Maana Kijana anakaa kijijini na ana ndoto za mjini na hana tarifa zaidi atafikaje mjini hana ndugu hana nauli nk. kama leo wengi wanazamia kwa kwa kukosa tarifa sahihi wapi kwa kupata documents nk connection mtu hana kabisa anamua jiripua mfano kupata VISA baadhi ya nchi bado tatizo
Ya ni kweli mkuu. Hapa ndo nimekuelewa vizuri, ki ukweli maisha yanachangamoto nyingi sana ambazo watu wengi tunazipitia.
 
Vijana wengi wa Tanga,mtwara na morogoro wamezamia south,umenikumbusha maisha ya ubaharia deep sea Tanga,yalinipa confidence ,
Hahahaha mwamba wala haujakosea. Siku hizi hadi wamasai wanazamia.
 
Miaka ya 2000 nilikua nasoma Kampala pale shuleni kwetu kulikua na wasudani wengi miongoni mwao ilikuwa ni child soldiers wa SPLM waliotolewa jeshini na UN ili waweze kuendelea na masomo kipindi hiyo south Sudan wanapigana na serikali ya Khartoum wakitaka kujitenga kipindi hiyo ndio John Garang ametoka kufa, sasa kuna rafiki yangu msudani akaniambia kule kwao Juba kila kitu wanategemea kutoka Uganda bidhaa kule bei ni mara nne ya ile ya Kampala nikipeleka hata maji ya kunywa nitapiga hela sana, akanipa address za wenzie aliokuwa nao jeshini kuwa nikifika niwatafute watanisaidia, basi tulipofungua shule nimetoka bongo na hela ya kutosha ya Ada, pocket money na nyingine nimedanganya sana home, kufika Kampala nikanunua maji ya rwenzori carton za kutosha nikatafuta magari ya kwenda juba safari ikaanza, picha linaanza njia mbovu kinoma vumbi mabonde safari ilienda siku tatu, gari ilikua truck ya wakenya walikua watu poa hawakua na shida hadi tulipofika border ya sudan inaitwa Nimule wale wakenya wakaniambia inabidi mimi nishuke pale kwakua mzigo wangu haukua na kibali ila wakaniambia nikifanikiwa kuvuka Upande wa Sudan kuna trucks na gari za UN zitanifikisha Juba, nikashuka pale na box zangu za maji nawaza nitavukaje nikakutana na mwana flani mganda namkumbuka Geonil nikampanga pale nia yangu akaniambia subiri kuna magari ya UN yayopeleka misaada yanapita ukimpa dereva hela anakuvushia, nimekaa pale 2 days ikaja convoy ya UN jamaa akaongea dereva mmoja tukapakia mzigo wangu akaniambia nivuke atanikuta upande wa Sudan, Geonil akanifanyia mpango nikavuka upande wa pili hapo passport ninayo ila sijagonga kwakua sikuwa na visa hapo kila kitu ni dollar haina msaada hata huyo mwana nilikua namlipa, kufika upande wa pili ndio mapicha yakaanza sijawahi kuona sehemu hatarishi kama ile bunduki nje nje watu makauzu hatari, ile gari ya UN ikafika nikapanda safari ya juba ikaanza, njiani roadblocks kibao unakuta wanajeshi wamenuna balaa english yao mixer kiarabu kumuelewa inabidi ukaze sikio kweli, sema kwakua tulikua msafara una label za UN vikwazo havikua vingi kama magari mengine njiani mnakuta magari yalilipuliwa kwenye mapigano njia mbovu kifupi nikaanza kujilaumu kwanini nimeenda kule ila safari ikaenda tukafika Juba mji wenyewe kama kijiji hamna guest wala hotel nyumba ni mbovu guest chache zilizopo wanakaa watu wa UN, kiukweli ule mji dollar ndio ilikua pesa inayotumika jamaa wa ile truck wakaniunganisha na mama mmoja mganda alikua na mgahawa nikashusha mzigo wangu nikakaa pale nianze kufanya mawasiliano na yule askari niliyepewa address yake na yule jamaa yangu msudani niliyemuacha shule Kampala, nikipiga simu haiendi ila yule mama mwenye mgahawa akawa ananisaidia kuuza maji yangu kwa wateja wake kila chupa niliuza 1$ faida kubwa compared na bei niliyonunulia usiku nalala kwenye ule mgahawa, siku ya tatu usiku nimelala na jamaa wengine wawili mmoja mganda wawili wakenya tulisikia milio ya risasi nyingi mno hata huelewi zinatokea wapi hatukuweza hata kukimbia maana hujui uende wapi unaweza kukutana nazo hukohuko, hatujakaa vizuri mlango ukapigwa teke wakaingia watu na bunduki na tochi wanaongea lugha hata sielewi wakaanza kutupiga mateke mimi nikawa nalia napiga kelele I'm Tanzanian jamaa walitupora kila kitu hela, maji yangu, simu, jacket nililokua nimevaa, viatu hadi passport chakula kilichokua kwenye ule mgahawa then wakasepa, tulibaki tukiwa na hali mbaya yule mkenya walimvunja mkono mimi nina kovu mguuni hadi leo, vibanda vya jirani vimewashwa moto tuliugulia pale hadi asbh wakaja watu wa UN tukapelekwa kwenye kituo chao cha afya, wakawasiliana na TZ embassy Kampala mchana wake nikapakiwa kwenye ndege ya mizigo hadi Kampala, embassy ikawasiliana na home nikarudishwa bongo, ila baadae nilirudi Kampala kumalizia shule, kama kuna mtu aliyesoma St Mary's Kithende atakuwa anajua hii stori.
 
Yaan nimecheka [emoji23]
Ulivyorudi mchizi uliongea nae nin?
 
Duh aisee ukisikia watu walionusurika kifo, basi wewe ni mmoja wapo. Pole sana mkuu kwa yaliokutokea enzi hizo. Mbona ni kama mchongo ulipangwa na mmoja wa waliojua kuwa ww ni mgeni na una hela kibao mfukoni.
 
sasa hivi kutoka dar mpaka lusaka kama huna 120,000 huendi.....

ila dar to harare ni 200,000 ...

gari zipo nyingi, classic, mashaallah n.k
Shukrani mkuu, nafikiri yule ndugu yetu alietaka kujua gharama za usafiri kwa sasa atakuwa ashapata jibu.
 
Duh aisee hawa mbona wanaonekana watoto wadogo sana. Kutokana na umri wao hii si ni hatari kwao?!
Wadogo kiumbe wakubwa kifikra maisha yamewalazimisha kuwa wakubwa.
Hawa lazima walifika Dar kwa kudandia malori,au gari za ng'ombe.
Kuna dogo alitembea kwa mguu toka Mwanza hadi south africa haya maisha yaache tu ufumbuzi upatikana kuliko na shida ilivyo.
 
Back
Top Bottom