Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #61
Ya ni kweli. Madogo wengi wamejitoa mhanga kwa kwenda popote wasipopajua ili mradi waondokane na maisha ya msoto.Wadogo kiumbe wakubwa kifikra maisha yamewalazimisha kuwa wakubwa.
Hawa lazima walifika Dar kwa kudandia malori,au gari za ng'ombe.
Kuna dogo alitembea kwa mguu toka Mwanza hadi south africa haya maisha yaache tu ufumbuzi upatikana kuliko na shida ilivyo.
😂😂😂Mchongo wa jamaa kuvamiwa huenda umechongwa na yule mama ntilie. Ndomaana mwamba anakwambia vibanda vingine jirani na yule mama vilichomwa moto, lkn chake hakikuchomwa zaidi ya kuwaibia na kusepa.
History ya mdau inasikitisha san kwa kweli 😂😂🤣🤣😂😂😂
Pole sana
😁😁 unaweza kuta huyo bingwa aliwahi kupitia jkt.Kutafuta maisha mkuu.
Ya mku, huyu alistahili abaki hapa hapa bongo aipiganie nchi dhidi ya adui yeyote kutoka nje.Kuna watu wana uwezo wote wa kijeshi, lakin hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na jeshi.
Ila mabaharia wakimdaka wanamla jicho au kumtupa baharini.Wazamiaji noma sana,imagine mtu anazamia melini kutoka mombasa,tanga,dar,mtwara,pemba,Nakala,maputo,kwazulu,cape town hadi canada au ulaya aisee ujasiri unahitajika sana
Jifunze kutofautisha tofauti ya TV series na movies.Wangekuwa wengine wangeweka vituo vingi na kusema itaendelea
Hahahaha mimi nimeamua nimalizie kabisa ili mtu apate point ya kile kilichoandikwa.
Yani inahitajika ujasiri wa hali ya juu kama huyu mwamba. Inafika kipindi unaona kama kufa kumeumbwa kwann nikiogope kifo, hapo ndo unajilipua mazima.Wazamiaji noma sana,imagine mtu anazamia melini kutoka mombasa,tanga,dar,mtwara,pemba,Nakala,maputo,kwazulu,cape town hadi canada au ulaya aisee ujasiri unahitajika sana
😂😂😂Ila mabaharia wakimdaka wanamla jicho au kumtupa baharini.
Mkuu ulisoma vizuri kweli? Mbona nimeeleza vizuri tu nikaeleweka kwa wengi. Yani niliandika kuwa basi liliondoka saa kumi asubuh ambapo bado kulikuwa giza giza kwahiyo asingeweza onekana. Afu kingine kwa miaka ile ilikuwa ngumu kushtukiwa kwa vile hakuna mtu alieweza kufikiria kwamb kuna mtu anaweza kusafiri akiwa chini ya tairi la rizev la basi. Labda miaka hii ndo rahisi kujulikana maana watu washaona haya mambo kupitia mitandao mbali mbali kama vile yutub, movie na history kama hizi. Ila kwa miaka ile ilikuwa ngumu ndomaana kuna watu wengi walikuwa wanazamia nchi za watu na wengi walifika bila kushtukiwa, ila kwa sasa ni ngumu kwa vile wenye meli, ndege na magari yao washashtuka.Hongera..hii stori mimi kama mimi sijawahi andika stori yoyote ila nilikuwa nina uwezo wa kuifanya kuwa ndefu sana haswa mkiwa safarini pale kwenye bus msela akiwa chini
Pia nawaza ni ngumu sana kuingia chini ya bus mchana wasikuone..hizi yutong zetu hizi
Yani wee acha tu ndugu yang.Watubwanapitia mengi dunia hiii
Kweli eeh my dearNdo maana tukiwa nanyi (wanaume) tunajisikia safe
😂😂Kweli eeh my dear