Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete ni Military mind anaipenda nchi yake kuliko uswahiba. Uongozi sio wa kupeana tu kama fadhila,uswahiba,ukabila,udini au ukabila hii nchi yetu sote.The guy is not wisest if he could be a wiser man asingemkata lowassa MTU aliyekuwa anapendwa na Watz wote nchi nzima that was hell
Nyerere Je?Mwamba ni wa kitambo,
Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa
Mwamba anongozwa na akili na si mihemko na ndio maana nadra kusikia kafanya maamuzi ya hovyo
Mwamba anasemwa sana at sometimes mara asifiwe mara akumbukwe lakin ana-smile tu , hata matusi pia at sometimes hutukanwa mpaka unaweza jiuliza mwamba hasikii but this mwamba he's intelligent & wise hasukumwi na mihemko
Lakin yote kwa yote naamini anawapenda Watanzania that's why he ignores
Kuna mengi mazuri ya huyu mtu mtu
Mheshimiwa Kikwete kabla hujaondoka siku moja tungependa tusome kitabu chako kwa hakika kuna mengi mazuri tunaweza jifunza hususa namna ya kuishi na watu
Forever u will be remembered na sisi Watanzania wanafki
Nb/Simjui hanijui na mimi wala si chawa tuheshimiane tafadhari[emoji23][emoji23]
EhNdie mtu ninaemuiga sana maishani mwangu natamani sana siku moja nikutane nae nipige goti nimshike miguu nae anishike kichwa anibariki. (Hiyo ndio ndoto yangu)
Ok, Kabla ya uhuru katika kusoma kwako, kulikuwa na ukabila?Nimeusoma.. utawala wa nyerere unaonekana kwa macho hata kwa kuusoma tu. Kitendo cha kutuunganisha wa Tanzania kutokuwa na ukabila ni ushahidi tosha wa kuonesha alikuwa kiongozi bora..
Wakati tunapata uhuru aliachiwa nini na mwinyi alirithi nchi ikiwa katika hali gani kabla ya mkapa?Viwanda alivyojenga na mali kibao za uma zilizopatikana awamu ya nyerere nimeziona wakati nikiwa mdogo.
Mkapa alibinafsisha viwanda vikiwa vinafanya kazi vizuri? Sera ya ubinafsishaji ilikuwa na objective gani?Kabla Mkapa hajaja kuviuza kifisadi na vingine kujiuzia yeye na familia yake
Chawa wa KikweteMwamba ni wa kitambo,
Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa
Mwamba anongozwa na akili na si mihemko na ndio maana nadra kusikia kafanya maamuzi ya hovyo
Mwamba anasemwa sana at sometimes mara asifiwe mara akumbukwe lakin ana-smile tu , hata matusi pia at sometimes hutukanwa mpaka unaweza jiuliza mwamba hasikii but this mwamba he's intelligent & wise hasukumwi na mihemko
Lakin yote kwa yote naamini anawapenda Watanzania that's why he ignores
Kuna mengi mazuri ya huyu mtu mtu
Mheshimiwa Kikwete kabla hujaondoka siku moja tungependa tusome kitabu chako kwa hakika kuna mengi mazuri tunaweza jifunza hususa namna ya kuishi na watu
Forever u will be remembered na sisi Watanzania wanafki
Nb/Simjui hanijui na mimi wala si chawa tuheshimiane tafadhari😂😂
Kakisome tena. Hajaomba msamaha kwa ufisadi bali alikiri maamuzi aliyochukua ya ubinafsishaji kuwa na makosa. Mkapa hajakiri kuwa yeye alikuwa fisadi na kuomba msamaha.Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake alichoandika ameomba msamaha kwa ufisadi alioufanya kwenye ubinafsishaji. Kwenye Epa na maovu mengine.
Kakisome tena. Hajaomba msamaha kwaufisadi aliofanya bali alikukiri maamuzi aliyochukua ya ubinafsishaji kuwa na makosa. Mkapa hajakiri kuwa yeye alikuwa fisadi.
View: https://youtu.be/whymEOI52WQ?si=gR_ghBWKXMj7POdw
OkAlijiuzia mgodi wa kiwira
Alijiuzia nyumba za serikali upanga, lushoto etc
Yeye mwenyewe mkapa amekiri ela za Epa alishiriki zipigwe.
Yeye mwenyewe mkapa amekiri alibinafsisha mali mpaka kwa shemeji zake
Mkapa ndie rais fisadi kuliko wote ndie pekee aliyefanya biashara akiwa ikulu.
Kwenye maembe mabovu unaweza pata yenye uozo nafuu, i.e kutokana na macho na ladha yakoMwamba ni wa kitambo,
Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa
Mwamba anongozwa na akili na si mihemko na ndio maana nadra kusikia kafanya maamuzi ya hovyo
Mwamba anasemwa sana at sometimes mara asifiwe mara akumbukwe lakin ana-smile tu , hata matusi pia at sometimes hutukanwa mpaka unaweza jiuliza mwamba hasikii but this mwamba he's intelligent & wise hasukumwi na mihemko
Lakin yote kwa yote naamini anawapenda Watanzania that's why he ignores
Kuna mengi mazuri ya huyu mtu mtu
Mheshimiwa Kikwete kabla hujaondoka siku moja tungependa tusome kitabu chako kwa hakika kuna mengi mazuri tunaweza jifunza hususa namna ya kuishi na watu
Forever u will be remembered na sisi Watanzania wanafki
Nb/Simjui hanijui na mimi wala si chawa tuheshimiane tafadhari😂😂
Unahangaika ukiwa wapi? Kwa hiyo Kikwete alikuwa na maslahi gani kwa taifa?Bora usaliti urafiki usio na maslahi ya Taifa kuliko usaliti nchi YAko Kwa kumpa tu nafasi nyeti kwa sababu ni rafiki yako
Kwa hili Kikwete alionyesha uzalendo wa Hali ya juu
Na atakumbukwa daima na watu wenye akili na wazalendoo wa Taifa hili
Na Wakati huo naona unafiki mkubwa wa baadhi ya viongozi wasio na misimamo NDANI ya vyama vya siasa
Kusome historia yake kati ya Marais waliongoza nchi kwa utawala Bora uone ni NaniUnahangaika ukiwa wapi? Kwa hiyo Kikwete alikuwa na maslahi gani kwa taifa?
Mkuu Fene , naunga mkono hoja, tena mimi ni supporter wa mtu asifiwe akingali hai!.this mwamba he's intelligent & wise hasukumwi na mihemko
Lakin yote kwa yote naamini anawapenda Watanzania that's why he ignores
Kuna mengi mazuri ya huyu mtu mtu
Sipo hapa kumsafisha Kikwete au kumsifia ila hata yeye Kikwete aliekuwa anapendwa sana na Watz tena kipindi kile hakuwa na kashfa zozote lakini jina lake lilikatwa kitaalamuThe guy is not wisest if he could be a wiser man asingemkata lowassa MTU aliyekuwa anapendwa na Watz wote nchi nzima that was hell