Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

Jf sihami
 
Wapumbavu wachache mnaonishambulia kwa huu Uzi wangu mmemaliza au bado? Kama bado tafadhali muda upo endeleeni kwani Kudhihakiwa na Wendawazimu wa aina yenu wala huwa hakunipi taabu.

Nilichofurahi tu ni kwamba pamoja na Kunichukia Kwenu, Kutopenda Uzi wangu na Kunishambulia kotee ila nyote ( mnaojiita Werevu na Wasomi ) mmeweza kupoteza muda wenu na Kusoma Uzi wa GENTAMYCINE ambaye 99.9 yenu mnanichukia katika Viganja vyenu vya vidole ila Mioyoni mwenu mnanikubali sana na ndiyo maana yupo Mpumbavu Mwenzenu Mmoja kuonyesha kuwa ananipenda, anaijua na ameikariri mpaka na 'Signature' yangu ya 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na ameumia mno Mimi kuwa nayo na pengine anatamani ndiyo ingekuwa yake.

Sijutii Kusoma Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza na bahati nzuri Kwangu GENTAMYCINE ni kwamba huwa sina DNA ya Kupenda au Kuchagua Vitu vibovu vibovu na ndiyo maana Vitu nivipendavyo ni vizuri na vinafanikiwa pia.

Kwa mfano naipenda Klabu ya Simba SC kwa Tanzania na ya Liverpool FC kwa Ulaya na zote zinafanya vyema.

Nawapenda Wachezaji akina Lionel Messi, Jonas Mkude na Khalid Aucho na Wote wanafanya vizuri.

Naipenda mno Bendi ya Muziki ya Wenge BCBG yake JB Mpiana na ndiyo Bendi pendwa na yenye Mvuto hasa kwa Kupiga Misebene na Rhumba za Kufa Mtu.

Naipenda sana nchi ya Rwanda kwakuwa haina Raia Wapumbavu na wenye Wivu pamoja na Chuki kama Raia wa nchi moja Jirani ambao 95% ya Wananchi wake wana Upuuzi mwingi na upeo mdogo wa Kufikiri.

Nalipenda Jeshi la Tanzania ( JWTZ ) kuliko Majeshi mengine yote barani Afrika na Duniani kwani ndilo Jeshi lenye Utii, Maadili, Utayari, Uvumilivu, Umahiri, Ukakamavu wa Asili liko very committed hasa Kimedani.

Naupenda zaidi Mtandao huu wa JamiiForums kuliko Mitandao mingine yote duniani na kwa Takwimu nilizonazo kwa Tanzania yetu JamiiForums ndiyo Mtandao unaosomwa na Wengi na Kuaminika haraka Kimaudhui yake.

Nampenda mno Mrembo ( Mnyange ) Hamisa Mobeto kwani Yeye si tu ni 'very Pretty' bali pia ni 'Photogenic' hasa tofauti na Wanawake wengine wengi kiasi kwamba ndiyo Mwanamke anayeongozwa Kufuatiliwa sana na Watu ( hasa wa nje ya Tanzania ) hivyo kupelekea kuzidi Kujulikana.

Tanzania ina Vyuo Vikuu vingi na tena GENTAMYCINE naviheshimu vyote ila nakipenda zaidi Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza kwakuwa hawakufundishi tu ujue Kukariri Notes, Ufaulu Mitihani na upate Cheti katika Mahafali yao, bali ukimaliza Masomo na kwa Elimu yao ya Msuli Mwingi ( Ngumu ) utakuwa ni Hazina ya Kifikra ( Intellectual ) kwa ndani na nje.

I'm proud of SAUT my Favorite Varsity.

Cc: Chinga One, Woga tupa kulee, donlucchese, USSR, Dorome, GRANITE II, Tangantika, Buti la mkoloni, josephwaara, maroon7, Jorojik, adriz
 
Ulianza vizuri, lakini mwishoni umeboronga. Hivi u-genius unafundishwa? That is an inborn character!
 
SAUT ulisomea kozi gani?
BTW Division three ndio ilikufanya ushindwe kusoma UDSM,SUA,UDOM,DUCE,MUCE
 
Pamoja kiongozi. Sorry, hivi saut wanatoa MBA ya corporate finance? If so, entry requirements ikoje
 
Pole mkuu.
Tatizo lako kitaalamu linaitwa 'Bipolar mania'. Linatibika na tafadhali wahi hospitali kabla hali haijawa mbaya.
Wanao mfahamu mleta mada wamsaidie
 
Manyerere hongera zake lakini sio yeye tu waliosoma MA hapo SAUT. jamaa alimua kurudi chuo baada ya kukosa teuzi toka kwa rafiki yake. Kati ya watu waliopatwa na msiba wa JPM ni huyu Manyerere.
 
Nakumbuka miaka ya nyuma chuo kikuu Cha SAUT walikuwa na program maalumu kwa watu waliopata division (four form 6)..
Yaani ukipata division four kidato Cha sita unapigwa kipindi kwa miezi mitatu..alafu unajiunga na masomo ya degree na wengine waliopa division 3 (kipindi Cha nyuma division 1 na 2 walikuwa wanaenda vyuo vya serikali)
 
SAUT ulisomea kozi gani?
BTW Division three ndio ilikufanya ushindwe kusoma UDSM,SUA,UDOM,DUCE,MUCE
Nina Division II ya Ordinary Level na nina Division I ya Advanced Level na sijui ni Mpumbavu ( Tula Tula ) Mwenzako gani alikuambia kuwa SAUT wanaenda tu wasiokuwa na Ufaulu mkubwa kama nilionao.

Na kwa Kukusaidia tu ni kwamba nilienda SAUT kwakuwa ndiyo Chuo Kikuu ambacho ni Mama wa Kozi ya Habari ( Uandishi ) na Mawasiliano ya Umma nchini Tanzania japo hata Chuo Kikuu cha UDSM nao walikuwa nayo hiyo Kozi ila hawakuwa 'that Competent' kama SAUT Mwanza.

Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE namalizia kwa Kusisitiza kuwa nina Division II ya Form Four na nina Division I ya Form Six.

Haya njoo na lingine pia Tulatula Wewe.
 
Ungekuwa mwanamke, nadhani kambi yako ingekuwa Villa Park au maeneo ya Aspro mtaa wa Uhuru
 
Pamoja kiongozi. Sorry, hivi saut wanatoa MBA ya corporate finance? If so, entry requirements ikoje
Pumbavu Mnafiki mkubwa Wewe. Yaani umeshindwa kwenda tu www.saut.ac.tz ili ukapate 'Details' zote hizi unazoniuliza hapa? Nikiwa nawaita Popoma au Tulatula ( Pumbavu ) msiwe mnaninunia sawa?

Kama umeweza kuwa na access ya Internet na una Data la kutosha umewezaje kuingia hapa JamiiForums na ukashindwa pia 'Kugugo' tu SAUT Mtandao ili upate kila Kitu? Mnafiki mkubwa Wewe!!
 
Nina Division II ya Ordinary Level na nina Division I ya Advanced Level na sijui ni Mpumbavu ( Tula Tula ) Mwenzako gani alikuambia kuwa SAUT wanaenda tu wasiokuwa na Ufaulu mkubwa kama nilionao.

Na kwa Kukusaidia tu ni kwamba nilienda SAUT kwakuwa ndiyo Chuo Kikuu ambacho ni Mama wa Kozi ya Habari ( Uandishi ) na Mawasiliano ya Umma nchini Tanzania japo hata Chuo Kikuu cha UDSM nao walikuwa nayo hiyo Kozi ila hawakuwa 'that Competent' kama SAUT Mwanza.

Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE namalizia kwa Kusisitiza kuwa nina Division II ya Form Four na nina Division I ya Form Six.

Haya njoo na lingine pia Tulatula Wewe.

Cc: Saveya
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], you've just confirmed my prognosis. Mzee una ka syndrome flani, tafuta msaada

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Jamii forum ni jukwaa la watu wa rika mbalimbali, na status tofauti, kuna wasomi wa ngazi mbalimbali, yawezekana hadi maprof. nao wamo humu, kuna watu wenye imani katika dini zao na hivyo wanadumisha maadili yao. Jamii forum sio jukwaa la kihuni; ni jukwaa la heshima (kuheshimiana), na kubwa zaidi, wote tuliomo humu ni watu wazima. Ni aibu kubwa sana kutukanana na kupeana maneno yasiyo na staha. Tudumishe upendo na amani kwenye jukwaa letu la kuhabarishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…